Naacha infidelity | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naacha infidelity

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by RR, Oct 8, 2010.

 1. RR

  RR JF-Expert Member

  #1
  Oct 8, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160

  Wadau, mabibi na mabwana…
  Baada ya kutafakari kwa kina, nimefikia uamuzi wa kuacha kabisa infedeility….
  Sasa kwa kuwa basi mi katibu mkuu wa kambi yetu shupavu, nina masharti madoooogo tu ya kujiunga na kambi ya upinzani….
  1. Upinzani wanihakikishie hawatanilazimisha kutoa hotuba ya kupinga infidelity wakati najua infidelity is there to stay
  2. Nitapata mapokezi ya kishindo i.e. kupewa muda wa kuwa faragha na wafuatao:
  i. Smiles (asiogope itakuwa bedless bedroom)
  ii. Beauty
  iii. Mwanajamiione
  iv. Carmel
  v. Nyamayao
  vi. Wengineo kama itakavyoipendeza ISC...
  3. Rule 3 iruhusiwe kutumika kwa hao wa juu….ni muhimu mwenyekiti, mhazini, mfalme na washauri na membaz wote wakaridhika na hatua yangu
  As it’s only a Friday nawasilisha….
  Katibu.
   
 2. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #2
  Oct 8, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Valuer bado ziko kichwani
   
 3. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #3
  Oct 8, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,578
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  Sio Bure nadhani una hangover au lipo linalokusibu hahahahahah:blah:
   
 4. RR

  RR JF-Expert Member

  #4
  Oct 8, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Kichwani kwangu kiongozi?
  Dah....jana nilikunywa nini kwani....:A S confused:....sijui waliweka gongo kwenye ile chupa ya nyagi?
   
 5. RR

  RR JF-Expert Member

  #5
  Oct 8, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Tatizo sikumbuki kama nilikunywa chochote jana...
   
 6. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #6
  Oct 8, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Nahisi Eliza kuna vitu alikuwekea au jana ulikuwa unakunywa zero pub na hawa wafuatao SMILES, BEAUTY,MJI, CARMEL, NYAMAYAO halafu wakakuwekea vitu kwenye valuer yako nahisi kama vile unatembea kichwa chini miguu juu
   
 7. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #7
  Oct 8, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Kwanza hapo upo wapi?????? isije ukawa bado upo gesti hausi
   
 8. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #8
  Oct 8, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,578
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280

  Kama hii imetoka moyoni karibu sana ..kukaa kimya kwangu kuhusu swala hili si kwamba natetea mambo yenu ya infidelity
  Kondoo mmoja uliyepotea karibu sana
   
 9. RR

  RR JF-Expert Member

  #9
  Oct 8, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Gesti nshatoka kitambo....nilitoka saa 4 jana bana....
   
 10. RR

  RR JF-Expert Member

  #10
  Oct 8, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Ni hito tumasharti tudogo tu mnitekelezee...:A S 8:
   
 11. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #11
  Oct 8, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  nidai zawad pleeeeeese!!!!!!!!!!!!!
  guuuud boy.....!!!!!!!!!!
   
 12. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #12
  Oct 8, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Ngoja ni :A S 100::A S 100::A S 100::A S 100::A S 100:na TEAMO, ACID, KAIZER, ASPRIN maana naona uliishanza kuchanganya mafuta ya taa na diseli
   
 13. RR

  RR JF-Expert Member

  #13
  Oct 8, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Halafu wewe....
  Si unajua uko exempted kwa rule 3 ...?:A S 8:
   
 14. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #14
  Oct 8, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Kuchakachua muhimu kaka :typing::washing:
   
 15. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #15
  Oct 8, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  yani unataka wote hao? ushakua mswati nini?? duh

  hiyo list naiona kama umeiweka kwa order maalum au ni random tu?
   
 16. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #16
  Oct 8, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  yes yes yeaaaah!
  nakuunga mkono ukaongee nao faragha hao wandago wa kambi ya pili. ila usisahau kutuletea picha hapa jukwaani. Naamini utaenda kuifanya vyema kazi yetu ukiwa huko.

  Jamani mpokeeni mwenzetu kwa mikono miwili jamani, jitahidini kumbadilisha ingawa twamjua siye...

  natoa sharti la mimi kujiunga na prevention team, aje nyama yao kunishawishi faragha naweza kufikiria kujiunga labda
   
 17. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #17
  Oct 8, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Inategemea ni kichwa gani unazungumzia mkuu..........maana hayo masharti naona kabisa hana nia ya kuhama ISC bali ana pango wa kuumaliza upinzani kwa kuurubuni kuingiza sheria na taratibu za ISC kwa IPC.
   
 18. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #18
  Oct 8, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  :a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13:
   
 19. Egyps-women

  Egyps-women JF-Expert Member

  #19
  Oct 8, 2010
  Joined: Feb 5, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hakuna lolote hapa endelea tu RR kwa raha zako
   
 20. RR

  RR JF-Expert Member

  #20
  Oct 8, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Hahahaaa....order doesn't count...:behindsofa:
   
Loading...