Kesi yangu na wewe haijaisha.Naona unajitahidi
Huwa haiozi ivi?siuzi wala sitoi bure
Sasa si hasara hiyo. Coz service charge haiangalii kama umetumia au haijatumika.siuzi wala sitoi bure
Haiozi ila huwa inazibaHuwa haiozi ivi?
Bikira ilienda wapi?mimi sio bikra ila siuzi wala sitoi bure
Bora dildo tu ushanunua ukijiskia unajipimia tuSasa kutoa hela na kununua dildo na kumpa mtu bure kipi kinapoteza hela?!
[emoji28][emoji28]mimi sio bikra ila siuzi wala sitoi bure
hiii kauli ya wanaume wanafanana ni uongo mtupu basi hata wanawake woote mnafanana wala usimcheke huyooo huenda hata ww unatoa ila husemi tukuna mdada bwana ni mke wa mtu yuleee alieniachia mtoto akaenda kugegedwa!
nilimuambia mimi hayo mambo sitaki akaachana na yule jamaa maana baada ya kumdadisi kumbe jamaa alikuwa hampi hata mia pia ni majirani ingeleta noma .
mimi nikajua ametulia bna kumbe baado analiendeleza kapata bwana mwingine sijui wapi eti anadai anataka kumuoa.nimemuuliza vepe jamaa anakulea lea mjini akadai ooh sijawai kumuomba hela na yeye hajanipa sema alinipa elf kumi ya bajaji kurudi nyumbani siku moja.nikamuuliza sasa mahusiano yenu yapoje akadai anampenda jamaa na yeye jamaa anampenda sana. nikamuambia aya bwana mjini hapa .
mume wake nae ana michepuko yaani katika ndoa yao ipo kwenye usajili ila wanachokifanya wanajua wenyewe.
sasa tujiulize wanawake wenzangu umeolewa una watoto tena wadogo kabisa sawa mume kawa hasomeki ,na wewe na uzuri wako unaanza kukutembeza bila malipo eti ni upendo .kuna mwanaume atakupenda mke wa mtu kweli? tena anakugegeda hotelini huko umeacha vichanga nyumbani unakunywa pombe unavuta hadi sigara? utakuwa una thamani yoyote kweli .
hata kama mume ni mbaya usijitese na dunia maana utamaliza wanaume wote ni walewale yaani wanaume wote wanafanana mwanzo mwisho. bora ukae benchi kama kina sisi maana ni kujitesa tu.
Please bby njoo tuongee chumbani tuyamalizeKesi yangu na wewe haijaisha.
[emoji15] [emoji15] [emoji124]Bora dildo tu ushanunua ukijiskia unajipimia tu
Sasa si afadhali hio hela ya kununulia ukaifanyia mengine uwe unaniita hata mimi siku ukijisikia bure kabisa?! Kama wa hivyo kwenye avatar i will be standby!Bora dildo tu ushanunua ukijiskia unajipimia tu
Huhuhuuuu!!Please bby njoo tuongee chumbani tuyamalize
Ili ugundue nini??kuliko utoe bure ni bora usitoe kabisa
Wivu sina ila roho inauma aiseee ndio tulipofikia hapa....[emoji25]Sasa si afadhali hio hela ya kununulia ukaifanyia mengine uwe unaniita hata mimi siku ukijisikia bure kabisa?! Kama wa hivyo kwenye avatar i will be standby!
Kuomba msamaha kazi sana jamani....Huhuhuuuu!!