Na urembo wake wote anagawa papuchi bure

Na urembo wake wote anagawa papuchi bure

The only time I do believe evil spirits are real.. And witchcraft is a fact..
 
Nasikitika kuoa mwanadada asiyeamini katika kufanya kazi na kuutumaini uzuri wake pili kama kila ufanyalo angalia lina manufaa gani wa watoto wako hata Kama mume kakutelekeza komaa na watoto.Nakupenda sana mama yangu maana ungekuwa wa sample hii sijui leo tungekuwa wapi
 
Mwanaume sio mtu wa kushindana nae kabisa aangalie Watoto aache ujinga
 
Kuna mdada bwana ni mke wa mtu yule alieniachia mtoto akaenda kugegedwa. Nilimuambia mimi hayo mambo sitaki akaachana na yule jamaa maana baada ya kumdadisi kumbe jamaa alikuwa hampi hata mia pia ni majirani ingeleta noma mimi nikajua ametulia bana kumbe bado analiendeleza kapata bwana mwingine sijui wapi eti anadai anataka kumuoa.

Nimemuuliza vipi jamaa anakulea lea mjini akadai ooh sijawai kumuomba hela na yeye hajanipa sema alinipa elfu kumi ya bajaji kurudi nyumbani siku moja. Nikamuuliza sasa mahusiano yenu yapoje akadai anampenda jamaa na yeye jamaa anampenda sana. Nikamuambia haya bwana mjini hapa, mume wake nae ana michepuko yani katika ndoa yao ipo kwenye usajili ila wanachokifanya wanajua wenyewe.

Sasa tujiulize wanawake wenzangu umeolewa una watoto tena wadogo kabisa sawa mume kawa hasomeki na wewe na uzuri wako unaanza kukutembeza bila malipo eti ni upendo kuna mwanaume atakupenda mke wa mtu kweli?

Tena anakugegeda hotelini huko umeacha vichanga nyumbani unakunywa pombe unavuta hadi sigara? Utakuwa una thamani yoyote kweli hata kama mume ni mbaya usijitese na dunia maana utamaliza wanaume wote ni walewale yaani wanaume wote wanafanana mwanzo mwisho. Bora ukae benchi kama kina sisi maana ni kujitesa tu.

Kwa hiyo kukiwa na malipo atembeze tu?
 
Back
Top Bottom