Pure Mathematics
Senior Member
- Mar 8, 2012
- 174
- 52
- Thread starter
- #21
Kongosho,naomba maji tafadhali...
Ngoja aje akusaidie manake hapa kuna vinywaji vingine tofauti na maji..
Kongosho,naomba maji tafadhali...
Yes nimeamua nianzishe uzi..
Kongosho,naomba maji tafadhali...
Karibu mkuu tusherekee Pasaka!Safi sana. Thats the spirit...
Ngoja aje akusaidie manake hapa kuna vinywaji vingine tofauti na maji..
Kuna wkt huwa namiss kuona comments zako...I just don't know why..
Now karibu kwa vinywaji, naona Amyner amechanganyikiwa kuona vinywaji "anuai", anashindwa aagizi kipi!
Kongosho,naomba maji tafadhali...
I'm here to stay, just stick around.
.hivyo vinywaji nani atalipia? au vishalipiwa?
mwambie as usualkongosho kanituma nikuulize, unataka maji gani?
Na wewe unataka maji?Thanks, I will.
Karibu! Hata kama una mada inayomhusu marehemu ruksa!...da kweli uzi
.
Hapa ni udhamini wa kampuni zote za vinywaji "vigumu" na "vilaini". BT nimekuona kule jukwaa la naniliu unaguna kwenye sredi ya watu badala ya kukoment!
mwambie as usual
mie thoda wota ipo jameni
Nakwambia noma! Marehemu ni gumzo mpaka huku kitaa kwetu. Hupiti mazungumzo ya watu ukaacha kusikia habari zake!haaaa imebidi nigune tu, maana mpaka ifike jumanne tutashuhudia thread za kila aina