Pure Mathematics
Senior Member
- Mar 8, 2012
- 174
- 52
Yes nimeamua nianzishe uzi..
.hauna mvuto
...........................
Kongosho una akili sana!bora wewe uzi wako hauhusiani na msiba.
Kongosho una akili sana!
Unatumia kinywaji gani tafadhali manake hii pasaka hatuwezi kukaukiwa na mate wakati misosi na vinywaji vipo vya kutosha!Hapa tunazungumzia chochote, kuanzia kuunga mchuzi na pilipili mbuzi hadi kurusha roketi angani.
Unatumia kinywaji gani tafadhali manake hii pasaka hatuwezi kukaukiwa na mate wakati misosi na vinywaji vipo vya kutosha!
bora wewe uzi wako hauhusiani na msiba.
.
BT mbona umeweka mambo ya kufill blanks tena kulikoni
kuna vinywaji gani!?
Now karibu kwa vinywaji, naona Amyner amechanganyikiwa kuona vinywaji "anuai", anashindwa aagizi kipi!pilau limenilevya
Karibu King Kong 3! Nimekuona lile jukwaa lingine ukijaribu kuelezea mali za marehemu!JF haiboi
Few to mention! We ukitaja unaletewa mara 1. Ila chupa nyingi ni zile zenye rangi ya ccm.
.bora wewe uzi wako hauhusiani na msiba.
Kongosho,naomba maji tafadhali...Hapa tunazungumzia chochote, kuanzia kuunga mchuzi na pilipili mbuzi hadi kurusha roketi angani.
Usiogope Amy, zipo pia zenye fleva kama ya azam kola.Hahaha basi nakuja na azam kola yangu.. Chupa zenye rangi hiyo ulotaja naziogopa. Lol.