Na mim natafuta mukazi wange SERIOUS….

deadline ni siku nitakapopata................ madume mawili ruksa, lingine si litakufa kifo cha kawaida? we apply tu tutasolve, hiyo ishu ndogo tu mbona???????? ...........................

Mkuu kwa maneno yanayokutoka wewe sio muoaji. You are not serious na ndio maana uko single. Nyie mabinti msije mkaruka majivu mkakanyaga moto huyu jamaa si muoaji wala nini ni mhuni tu!
 
washirika mimi naomba kuuliza kwa ujumla, nimesoma huu ukurasa wa watafuta uchumba naomba kutoa changamoto ili kumtendea haki innovator wa hii page, Je hamuoni kama kwa kuendelea kuwa kama ilivyo inakosa kutoa mchango kwa walengwa? hivi kweli mchumba anatafutwa kama nafasi ya kazi? mimi nadhani ukurasa huu ungetusaidie kama ungetumika ki ushauri ama mbinu za kupata hao wachumba wenyewe na kuboresha mahusiano, mimi sioni thamani ya mtu kusema nataka awe hivi awe hivi kwa kuwa tumekua sasa tunajua kwamba mpenda chongo ataita kengeza, na hatuoi wazuri wa sura ama tabia ama kabila hakuna formula kwa kuwa sio physics relationship ni chemistry, labda ndio maana hata hivyo inakosa watumiaji,
 
What did you mean by 'mambo ya Beijing'

JF nzimz ni wewe peke yajo usiyejua mamabo ya beijing?????????.............. we kama ni demu leta applikesheni kwa PM mengine hukohuko............. kwenye PM........... sory, sasa niko bize na shortlisting.................
 
washirika mimi naomba kuuliza kwa ujumla, nimesoma huu ukurasa wa watafuta uchumba naomba kutoa changamoto ili kumtendea haki innovator wa hii page, Je hamuoni kama kwa kuendelea kuwa kama ilivyo inakosa kutoa mchango kwa walengwa? hivi kweli mchumba anatafutwa kama nafasi ya kazi? mimi nadhani ukurasa huu ungetusaidie kama ungetumika ki ushauri ama mbinu za kupata hao wachumba wenyewe na kuboresha mahusiano, mimi sioni thamani ya mtu kusema nataka awe hivi awe hivi kwa kuwa tumekua sasa tunajua kwamba mpenda chongo ataita kengeza, na hatuoi wazuri wa sura ama tabia ama kabila hakuna formula kwa kuwa sio physics relationship ni chemistry, labda ndio maana hata hivyo inakosa watumiaji,

Mimi nadhani hajakosea kabisa kutaja sifa azitakazo kama kweli yupo siriaz.Hayo mambo ya ilimradi yoyote ni ya zamani mababu/mabibi zetu walipokuwa wanachaguliwa wachumba.
Na mambo ya kuweka sifa yanatumiwa na kila mtu sasa haijalishi huyo mtu umekutana naye kwa njia gani.Hata wewe nina uhakika umeshaweka vigezo vyako vya yule unayemtaka.Ni lazima mtu aweke sifa na kwa ulimwengu wa sasa its UNAVOIDABLE.
 
Umejuaje kama hana?
 
Inapotokea kama hivi Akili Kichwani anatafuta mwenza wa kuishi naye, na Sista Sophia naye pia anatafuta, unaweza kujumlisha tu ONE plus ONE ukadhani jibu litakuwa TWO kumbe jibu linaweza kuwa EIGHT!!!!

Ni kama enzi za biashara ya kubadilishana bidhaa (barter trade). Ilikuwa mtu anabeba mahindi mabegani kuzunguka kijiji kimoja hadi kingine kwa lengo ya kupata mafuta ya taa. Anakutana na mtu ana mafuta ya taa lakini hahitaji mahindi kwa kuwa anayo, yeye anahitaji mtu mwenye mbuzi ili abadilishane naye kwa kumpa mafuta ya taa.

Watu hao wawili inabidi wapishane na kila mtu aendelee na safari yake ya kutamfuta mtu wa kubadilishana naye. Ndicho kinachotokea hapa kwa Akili Kichwani na Sista Sophia!
 
we kama ni demu leta applikesheni kwa PM mengine hukohuko............. kwenye PM........... sory, sasa niko bize na shortlisting.................

:D duh!

Kwa ukali huu kaka utawakimbiza waombaji!

Maadam watu wanataka kueleweshwa na weye ndio muombaji kuwa mpole baelezeee bapate kuelewa bana!
 
dah, hivi leo ni lini? Furahi day sio? ngoja niwahi mambo yetu yale.....
 
imebaki applikesheni moja nitimize malengo yangu................ haya weee unayeshangaashangaa hapo kwenye PC tuma haraka mi nataka kwenda zangu kuanza weekend.............................. manake nina kazi ya kushortlist weekend nzima hii.........................
 
Inapotokea kama hivi Akili Kichwani anatafuta mwenza wa kuishi naye, na Sista Sophia naye pia anatafuta, unaweza kujumlisha tu ONE plus ONE ukadhani jibu litakuwa TWO kumbe jibu linaweza kuwa EIGHT!!!!

Ni kama enzi za biashara ya kubadilishana bidhaa (barter trade). Ilikuwa mtu anabeba mahindi mabegani kuzunguka kijiji kimoja hadi kingine kwa lengo ya kupata mafuta ya taa. Anakutana na mtu ana mafuta ya taa lakini hahitaji mahindi kwa kuwa anayo, yeye anahitaji mtu mwenye mbuzi ili abadilishane naye kwa kumpa mafuta ya taa.

Watu hao wawili inabidi wapishane na kila mtu aendelee na safari yake ya kutamfuta mtu wa kubadilishana naye. Ndicho kinachotokea hapa kwa Akili Kichwani na Sista Sophia!

mkuu baada ya uchunguzi wa kina imegundulika kuwa sista sophi ni mwanaume tena memba wa siku nyingi tu hapa JF!!!!!!!!!!!..................... so applikesheni yake nimeishaipiga chini.....................
 
imebaki applikesheni moja nitimize malengo yangu................ haya weee unayeshangaashangaa hapo kwenye PC tuma haraka mi nataka kwenda zangu kuanza weekend.............................. manake nina kazi ya kushortlist weekend nzima hii.........................
Bado tu hujapata? haupo siriaz wewe.
 
Mimi nadhani hajakosea kabisa kutaja sifa azitakazo kama kweli yupo siriaz.Hayo mambo ya ilimradi yoyote ni ya zamani mababu/mabibi zetu walipokuwa wanachaguliwa wachumba.
Na mambo ya kuweka sifa yanatumiwa na kila mtu sasa haijalishi huyo mtu umekutana naye kwa njia gani.Hata wewe nina uhakika umeshaweka vigezo vyako vya yule unayemtaka.Ni lazima mtu aweke sifa na kwa ulimwengu wa sasa its UNAVOIDABLE.

hebu mweleze mama asituletee upupu hapa ............... watu tuko serious..................
 
:D duh!

Kwa ukali huu kaka utawakimbiza waombaji!

Maadam watu wanataka kueleweshwa na weye ndio muombaji kuwa mpole baelezeee bapate kuelewa bana!

ndivyo inavyotakiwa kwa mwanume hasa kwa watu wanaoleta mzaha kazini ...................... ndo maana nimeishatahadharisha sitaendekeza mambo ya beijing..............mzee unajua kwetu mwanume huwa habembelezi hata siku moja..................... akibembeleza jua kuna kitu amishapata.............. mwanaume wa kweli anaongea black and white................on the spot..........
 
Back
Top Bottom