Na mie nimetamani...

Upo serious au unatania watu maana kuna watu tupo tayari kutangaza nia hapa
 
kweli kabisa I hope Ningekujua wakati nipo huko....... Kama ukipata mtu mwenye upendo wa dhati ata kusupport na uendelee kusoma wakati upo kwenye ndoa....

maneno yako yananifanya nijione sina bahati,:embarrassed::embarrassed::embarrassed:...you sound like mtu mmoja soo understanding,mpole and caring,,,sifa za mume ninayemhitaji maishani....tatizo uko mbali...:embarrassed::embarrassed:
 
We cheza na wanaume ngoja tukutafute...

nataka wa kunivisha ile kitu pale juu jamani,sio tu kila mwanaume...namtafuta wa kumpenda,anipende....tufurahie maisha...:A S-alert1::hungry:
 
Sema mama mtarajiwa unapatikaneje nje ya jamvi hili? nipo siriaz hebu gonga namba hii 0715 865544 inawezekana mungu kakuonyesha nenda hewani tafadhari!!!!!
 
View attachment 19083

natafuta wa kunivika hio kitu,na ile ya pili yake....natafuta mume wangu jamani ndio maana nimekuja humu,i believe yupo humu humu!...mambo JF?

Dada pauline, karibu sana hapa JF. Naomba Mungu akupe hitaji lako.
lakini Mbona hujaweka qualification zako hapa??. Ni vizuri tujue credentials zako hata nikinda kwa uncle wangu anaye tafuta mke nimwambie hizo habari.

Lakini jifunze kwanza kabla ya kufunzwa.
 
Asante Tabutupu kwa ukaribisho mzuri,pitia tena thread utaona nimeweka wasifu wangu,km una lingine ungependa kujua usisite kuniuliza...:teeth:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom