donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
hahah, mkuu karibu ila ungesema mapema. Lakini i wonder wakati ndio tarehe zenyewe hizi mkuu Mr RockyNikaribishe basi donlucchese maana mimi nahesabu tuu kenchi hapa sina hata ya soda
Daah aisee kweli mbombo ngafu mkuu!Mhhh donlucchese tarehe zimeangukia kwenye majukumu bana ndo maana nahesabu kenchi hapa
That time nilikuwa kwenye msiba jirani yangu kayange ametwaliwa japo kwenye mazingira tatanishi.
Nendeni kwa mzee wa misukule pale kawe anaweza kufanya makeke
Daaah sina imani hiyo.
Sasa hiyo imani umeitoa wapi ya kuwa ametwaliwa kwa njia tatanishi
Alikuwa na mke wa mtu japo na yeye ni mume wa mtu kwenye kuvunja amri akapitiliza.