MLAU
JF-Expert Member
- Aug 23, 2007
- 4,726
- 3,358
Maajabu yaliyonikuta Jana Mara baada ya kazi nikapita ktk glocery moja pale Africa sana Sinza nikaagiza juice glass moja.
Then nilipomaliza kunywa nilimlipa mtoa Huduma sh 2,000 ambapo nilitoa noti ya sh 10,000 kutoka ktk wallet yangu na zingine zilibaki kiasi cha sh 50,000 hivi.
Aliporudisha change 8,000 niliweka ktk wallet then baada ya saa moja nikiwa eneo la Kijitonyama nyumbani nikataka kununua vocha Kuchukua wallet na kuifungua hakuna noti hata moja.
Nauliza wadau na hii ni chumba ulete au....its my first time Ku experience hali hii. Na leo nimeacha hata wallet home.
Kuna aliyewahi kiipata hali hii???
Unakwepaje usipate!!