Na hii nayo ni chuma ulete,wizi wa kisayansi au...!!!?

MLAU

JF-Expert Member
Aug 23, 2007
4,726
3,358
Maajabu yaliyonikuta Jana Mara baada ya kazi nikapita ktk glocery moja pale Africa sana Sinza nikaagiza juice glass moja.

Then nilipomaliza kunywa nilimlipa mtoa Huduma sh 2,000 ambapo nilitoa noti ya sh 10,000 kutoka ktk wallet yangu na zingine zilibaki kiasi cha sh 50,000 hivi.

Aliporudisha change 8,000 niliweka ktk wallet then baada ya saa moja nikiwa eneo la Kijitonyama nyumbani nikataka kununua vocha Kuchukua wallet na kuifungua hakuna noti hata moja.

Nauliza wadau na hii ni chumba ulete au....its my first time Ku experience hali hii. Na leo nimeacha hata wallet home.

Kuna aliyewahi kiipata hali hii???

Unakwepaje usipate!!
 
Kwanini wenye huo utaalamu wasiwe wanafanyia huo utaalamu benki ili wawe mabilonea maana kule zikichanganywa tu na yale manoti kule unauaga umasikini.

Hii kitu ipo.. na si kwenye walet tu... popote pale unapoweka pesa.
 
Niliwahi shuhudia jamaa mmoja mtaan kwetu yaani akiona mtu anapesa tu basi anamgusa kidogo tu ila baadae mtasikia jamaa kalizwa.
sema jamaa huo ujinga alikuwa haufanyi kwa wenyeji. kwa sasa simuoni nasikia watu wengi walimgundua ikabidi akimbie mji.
 
Ulipoteza tu fedha zako mwenyewe. Siku nyingine kuwa makini zaidi
 
Africa sana hilo eneo linasifika sana kwa biashara ya ngono.. Kumbuka vizuri..
 
Back
Top Bottom