N/korea Watest Kombora lililosafiri kilometer 700

N/korea Watest Kombora lililosafiri kilometer 700

Tumwombe Mungu vita ya 3 isitokee kwani madhara yake yanatupata sisi moja kwa moja
 
Sasa trump anasubiri nini kulianzisha kama ana zana za kisasa kiasi hicho?Last week trump alimtaka Kiongozi wa N.Korea wakutane na zaidi ya hapo trump anasema ni heshima kubwa kukutana na Kim.
Vita sio kama ugomvi wa machinga na migambo vita hainzi tu kichwa kichwa au kama una mfano wa vita Aliyoanzisha marekani tangu amekuwa super power tuwekee hapa
 
We una shida sio bure, Threat ya Korea ni Korea Kusini na Japan, ambazo yupo nazo pua na mdomo, unataka Kombora la kwenda zaidi ya Kilometer 700 liende wapi?, kingine unachopasa kujua ni kuwa yeye Korea Kaskazini anatengeneza silaha kwa ajili ya kujiami lakini marekani anatengeneza Silaha za kwenda kuvamia nchi zingine
Sasa makombora yanayoelekezwa America?
 
Mmarekani huyu dogo ingekiwa imeisha muadhibu muda mrefu sana.
ila sema kuna watu wanamshika shati.
 
Tatzo ni kwamba km 700 halifiki tabora,,waambie korea waongeze uref wa kombora lao ila km 700 bado sana
Mkuu,under normal facts,umbali wa Kilometa 700 angani unaingia mara 1.5 kwa umbali wa ardhini huo uliouzoea kwa sababu hakuna kona.
Jambo la pili,hiyo height ya Kilometa 2000 juu usiichukulie poa. Ni height inayozidi umbali wa Mwanzo mwa Tanzania kusini kule Mtwara hadi Kagera. Kumbuka kwa usafiri wa anga,umbali wa kutoka Dar hadi Mbeya ni wastani wa kilometa 600± tu(umbali wa gari ni kilometa 880-soma 900km)! Hivyo usichukulie poa.
 
Hata hivyo, kama ataongeza umbali, hayo makombora si yatakwenda mbali zaidi hata kuvuka mipaka ya nchi yake?
Ieleweke kuwa, NK wanayo makombora mengine zaidi. Hayo anayofanyia majaribio siyo kwamba ndiyo hayo tu aliyo nayo, bali ni makombora mapya anayokuwa ametoka kuyatengeneza karibuni.
 
Sasa makombora yanayoelekezwa America?

Yepi yaliyoelekezwa America?, we umeshasikia North Korea ameenda America kuweka base?,
Kuna makombora ya IBCM ambayo Korea Kaskazini anayo yenye uwezo wa kufika America na atayatumia tu indapo amaerica nao wataingia kwenye vita, hivyo Korea Kas atapambana na Korea Kus, Japan, america na NATO

ANA MAKOMBORA KWA SABABU YA KUJIHAMI
 
N.Korea hivi karibuni imefanya monyesho ya silaha kubwa za nyukilia kuwafikishia salamu wamarekani sio south korea japo kuna uhasama wa mda mrefu kati ya Nkorea na Skorea, Kim ameshatoa kauli nyingi juu ya kurusha makombora marekani kama watamuingilia kwenye swala lake la utengenezaji mabom ya nuclear ndio maana marekani wameweka nyambizi lao la nyukilia kwenye rasi ya N.korea kwa ajili ya intimidation vita inayozungumziwa na kupewa kipaumbele ni marekani vs n.korea sio nkorea vs japan au skorea.
 
Nadhani hakuna unachokijua kwenye huu mgogoro, wala hujui uhusika wa South Korea, Japan na America ngoja nikuache
 
Binafsi ninawapenda sana watu ambao sio waoga. Kim wewe ni mtu mmoja safi sana.
 
pamoja na kufunga Thaad ! bado mapanki anajiamini na yuko ngangariiiiiii.... marekani mdomo tu, mapanki katika ubora wake
 
Marekani ana makombora yanayofika popote duniani korea anatest km 700, marekani wana ndege za kivita za kisasa zenye gharama na zisizomilikiwa na nchi yeyote duniani, marekani huwez kumpiga kwa nuclear wala kwa mtutu tena bora korea kusini na china wanaweza kujaribu kumpiga marekani lakini sio N.korea
Korea kusini ampige marekani ??? Marekani wameishika kila sehemu nchi hiyo. Hao unaowasifia wanamhanya kim
 
Eti..... bora Korea Kusini inaweza kumpiga Marekani.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom