Mkuu hivi mwenye kelele ni nani kati ya n.korea na marekani? Fuatilia historia ya huu mzozo, Marekani huwa hawana mbwembwe za kufanya millitary exhibition kama korea, unakumbuka moja ya sababu iliyomuangusha Britain kama super power ni exhibition huwezi kumwambia adui eti mimi nina slaaa kiasi fulani wakati hujui yeye yupo vipi, mfano n.korea wanawekeza about 20 trillions tsh kwenye jeshi wakati majirani zao south korea wanawekeza 100 trillions tsh kwenye jeshi hawa wote hawamfikii marekani kiuwekezaji katika jeshi, Tusitumie ushabiki kuwajudge hawa.