Borderlandz
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 548
- 730
Marekani hawaendi kichwakichwa kama huna mafuta wala chochote wanachoweza kuchukua hawaji ng'ooo, hata Tanzania leo ikitangaza vita na marekani hawaji kama hakuna cha kuchukua.wachokoze uone
Marekani hawaendi kichwakichwa kama huna mafuta wala chochote wanachoweza kuchukua hawaji ng'ooo, hata Tanzania leo ikitangaza vita na marekani hawaji kama hakuna cha kuchukua.wachokoze uone
Sa mbona hao marekani wako mpaka sasa hawajamdunda? hacha upambe mwepesi mwepesiMarekani ana makombora yanayofika popote duniani korea anatest km 700, marekani wana ndege za kivita za kisasa zenye gharama na zisizomilikiwa na nchi yeyote duniani, marekani huwez kumpiga kwa nuclear wala kwa mtutu tena bora korea kusini na china wanaweza kujaribu kumpiga marekani lakini sio N.korea
sasa wanapiga kelele za nini kwa north korea?Marekani hawaendi kichwakichwa kama huna mafuta wala chochote wanachoweza kuchukua hawaji ng'ooo, hata Tanzania leo ikitangaza vita na marekani hawaji kama hakuna cha kuchukua.
Mkuu hivi mwenye kelele ni nani kati ya n.korea na marekani? Fuatilia historia ya huu mzozo, Marekani huwa hawana mbwembwe za kufanya millitary exhibition kama korea, unakumbuka moja ya sababu iliyomuangusha Britain kama super power ni exhibition huwezi kumwambia adui eti mimi nina slaaa kiasi fulani wakati hujui yeye yupo vipi, mfano n.korea wanawekeza about 20 trillions tsh kwenye jeshi wakati majirani zao south korea wanawekeza 100 trillions tsh kwenye jeshi hawa wote hawamfikii marekani kiuwekezaji katika jeshi, Tusitumie ushabiki kuwajudge hawa.sasa wanapiga kelele za nini kwa north korea?
Hizo Meli na midege ya kivita kaipeleka ya nini huko?Marekani anaanzisha vita kukiwa na maslahi mapana mfano lengo la kushiriki katika vita ya kumuondoa gadafi ilikuwa kupata access ya mafuta ya Libya, n.korea is a third world country anaona hakuna cha kuchukua zaidi ya kulipa fidia kama heroshima
IntimidationHizo Meli na midege ya kivita kaipeleka ya nini huko?
Hiyo lugha kwangu ni tatizo put it in SwahiliIntimidation
yani Nk.SK kama kama kurasini na kigamboniHilo la USA lipo wazi ana nguvu na uwezo wa kila aina
Mgogoro wote ni sababu ya south Korea.NK shida yao na tatizo lao ni south ila USA anajiita mtetezi ndio kaingilia
Hebu nikupe mfano Iran juzi walisema wakiguswa basi makombora yao yatarushwa Tel Aviv na Bahrain
Seoul na Pyongyang ni karibu mno na Seoul ndio chanzo kwahiyo akirusha karibia makombora yake yote seoul nmna machache ya ICBM huko California japo hayatokuwa effective.. South atapoteza mengi kuanzia uchumi wao nk
Hiyo mindege ,makombora ya USA hazina maana kama Seoul ikiangamia..kuhusu Thaad kila kitu kina loophole ndio maana USA anataka diplomasia saizi sababu lazima south watapata majanga tu
Bashite katika ubora wako.
tunasafari ndefu sana.....na hii ni miaka 50 baada ya uhuruMkuu hivi mwenye kelele ni nani kati ya n.korea na marekani? Fuatilia historia ya huu mzozo, Marekani huwa hawana mbwembwe za kufanya millitary exhibition kama korea, unakumbuka moja ya sababu iliyomuangusha Britain kama super power ni exhibition huwezi kumwambia adui eti mimi nina slaaa kiasi fulani wakati hujui yeye yupo vipi, mfano n.korea wanawekeza about 20 trillions tsh kwenye jeshi wakati majirani zao south korea wanawekeza 100 trillions tsh kwenye jeshi hawa wote hawamfikii marekani kiuwekezaji katika jeshi, Tusitumie ushabiki kuwajudge hawa.
Mkuu hivi mwenye kelele ni nani kati ya n.korea na marekani? Fuatilia historia ya huu mzozo, Marekani huwa hawana mbwembwe za kufanya millitary exhibition kama korea, unakumbuka moja ya sababu iliyomuangusha Britain kama super power ni exhibition huwezi kumwambia adui eti mimi nina slaaa kiasi fulani wakati hujui yeye yupo vipi, mfano n.korea wanawekeza about 20 trillions tsh kwenye jeshi wakati majirani zao south korea wanawekeza 100 trillions tsh kwenye jeshi hawa wote hawamfikii marekani kiuwekezaji katika jeshi, Tusitumie ushabiki kuwajudge hawa.
Kaka inabidi ufanye utafiti kidogo, nguvu ya keshi la korea kusini inatokana na mkono wa marekani hivyo korea kusini wanajeshi la anga la recent technology kuliko north korea mfano korea kusini wana ndege (war drones) nyingi za teknolojia ya kisasa kuliko north korea japo wana idadi ndogo ya wanajeshi kuliko n.korea lakini teknolojia yao ya kivita ni kubwa kuliko n.korea kwa ufadhilia wa USA kushinda vita ya kisasa unahitaji kuwa na technology kubwa ya kijeshi sio kuwa na wanajesh waliojipanga kama siafu, kim ni mpiga kelele tu.
Wewe ndio huyajui ilhali yapo peupe ingia hata google hapo saivi tafuta nchi zenye majeshi imara duniani watakuonyesha na allocatio ya bajeti zao katika jeshi sasa hutaki kufanya research alafu unataka kubishana unasababisha uzi unakuwa mrefu tuwewe ulishafanya utafiti kuhusu majeshi ya nchi hizo mbili? hebu vijana tusijitwike mambo tusioyajua kwa undani!!
Sasa anashindwa nn kuvamia? Tushawachoka hawa wamarekani kwa ukandamizaji wao!!!Marekani ana makombora yanayofika popote duniani korea anatest km 700, marekani wana ndege za kivita za kisasa zenye gharama na zisizomilikiwa na nchi yeyote duniani, marekani huwez kumpiga kwa nuclear wala kwa mtutu tena bora korea kusini na china wanaweza kujaribu kumpiga marekani lakini sio N.korea
Hatari sana. Hapa ndio unaona tofauti ya mwarabu na watu wenye macho madogomadogo.Kombora limeenda juu 2000km na kutua 700km katika bahari ya Japan,USA wao wamefanya tafiti na kuundua sio intercontinental ballistic missile...