Bongolander
JF-Expert Member
- Jul 10, 2007
- 5,067
- 2,226
Mbona hujajibu swali langu yakhe?
Ngoja nijaribu kuuliza tena.
Teh teh teh....North Korea wana inventions gani?
Wakati nafuatilia falsafa ya JUCHE ndipo nilipogundua kuwa North Korea hana mzaha katika kulinda mipaka na uhuru wake.
Kimsingi alishamwomba South Korea na mshirika wake USA waanzishe vita ili yeye amalize
maana wao ndo wenye kulilia vita.
Kuilinganisha North Korea na Tanzania kwa namna yoyote nadhani ni makosa makubwa
kwa kuwa ukiondokana na propaganda za nchi za magharibi bado North Korea ni nchi yenye nguvu kiulinzi, kisiasa na hata uchumi wao si wa kubeza.
Dude NK are interesting commies.
Not good at inventions at all, if you look at the military you will see that their arsenal is antique.
Lakini ubabe walionao na vitisho vyao are real.
Ukibahatika kufika Seoul utajua kuwa mkwara wao si mchezo.
Kuna siku nilizinguka Seoul na kuangalia mji ulivyokaa na watu wake +10 milion, world class hardware and lots of businesses na ukaribu wake na firing squad za DPRK.
The irony is, If US drops a nuke to DPRK today the only thing they can do is kill poor farmers withoutr causing any economic demages.
In fact gharama ya bomu moja la US kwa DPRK ni kubwa kuliko hasara yoyote inayoweza kusababishwa ardhini. There is nothing much to attack or destroy there.
To the contrary if DPRK manages to drop one of their antiquated bombs or a nuke to Seoul, the cost to ROK and US will be very massive, may be a million times higher than the bomb itself. Hapo ndio jamaa walipowabana US na ROK. The only thing they have is lives and bombs.
Anajua kitakachowapta,ndio maana hawatii mguu! Atawachezea haohao wanafiki Waarabu.Kinachoshangaza ni Marekani kuwaacha waendelee na mikwara yao, kwanini asiwaswage kama Saddam?
Teh teh teh....North Korea wana inventions gani?
Watu wa north korea hali zao ni za kimaskini but raisi kawekeza kwny jeshi na vifaa vya kivita.
Haka kajamaa ni stubborn kweli, sijui kwanini Marekani wameiacha hii familia kuendelea kutamba mpaka leo!
Haka kajamaa ni stubborn kweli, sijui kwanini Marekani wameiacha hii familia kuendelea kutamba mpaka leo!
Mimi siwaamini kivile hao jamaa. Hata hivyo vibomu vyao sijui vya nyuklia vinaweza vikawalipukia wenyewe na kuwadhuru kabla hata havijadhuru wengine.
Na pamoja ya kwamba kanaonekana hakana akili nzuri bado siamini kwamba ni kapumbavu kiasi cha kuweza kuanzisha timbwili na Marekani maana nchi nzima itaangamizwa.
Hata kuanzisha timbwili na South Korea hakawezi maana kanajua ndo utakuwa mwisho wake.
Sana sana huwa kunakuwa na rabsha rabsha tu za hapa na pale kati ya South na North lakini huwa hazifikii level ya full-blown war.
Leo sijui umeamka vipi na kuamua kumwita JKN baba wa taifa...was expecting name calling.
Yani hao wanaishi kipekee asee kwanza hawanaga mitandao ya kijamii yaani kama makuku vilee...dah
Hio nchi sioo sioooo kabisaa....
Mimi siwaamini kivile hao jamaa. Hata hivyo vibomu vyao sijui vya nyuklia vinaweza vikawalipukia wenyewe na kuwadhuru kabla hata havijadhuru wengine.
Na pamoja ya kwamba kanaonekana hakana akili nzuri bado siamini kwamba ni kapumbavu kiasi cha kuweza kuanzisha timbwili na Marekani maana nchi nzima itaangamizwa.
Hata kuanzisha timbwili na South Korea hakawezi maana kanajua ndo utakuwa mwisho wake.
Sana sana huwa kunakuwa na rabsha rabsha tu za hapa na pale kati ya South na North lakini huwa hazifikii level ya full-blown war.
Duh!, wadada wako all over him na kumlilia kabsa!,...ama kweli kama kwako kipofu kwa mwenzio kengeza!
Marekani ndiye katishiwa kupigwa na North Korea. Ukifanya uchunguzi kwa nini atishiwe Marekani na si China, Russia au Tanzania utapata jibu la swali lako.Kwani marekani ni nani hasa mpaka aingilie mambo ya north korea ambayo hayamuhusu??
Si yangu hayo, nimeweka na chanzo, pitia ukajisomee.
Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga?
Si unajua zile shule zetu? Ndio maana nimeshangaa..inasikitisha kuona baadhi wakati hutumii neno Punguani, kama sijaona neno hilo hadi nakuwa na wasiwasi, si kawaida yako.
That they are! They are not called the Hermit Kingdom for nothing.
Just about everything of theirs is antiquated. And yes, that includes their Mickey Mouse threats also. But I must admit they (their threats and fiery rhetoric) are funny as hell.
Wana ubabe gani hao? Their bark has always been worse than their bite. Nothing more, nothing less.
Seoul nimefika mara kadhaa na sikuona chochote kile cha kutisha kutoka kwa hao majirani zao. Sana sana niliona vikaragosi vya kuchekesha kuhusu hao akina Kim.
Well, hata Pyongyang haipo mbali kivile na makombora ya South Korea yenye uwezo wa kui-flatten ndani ya siku moja tu. Umbali wa hiyo miji mwili ni takriban maili 120 hivi.
Ila hiyo miji miwili ni usiku na mchana. Seoul ni world class city na Pyongyang....sina hata adjective ya kuielezea.
Inasemekana na wenyewe (NK) huwa wana mgao wa umeme kama sisi. So go figure.
That's right because there is no economy worthy of damaging to begin with. I mean, other than labor concentration camps, what's there? Do they even have bars? Restaurants? Malls? Office parks? Casinos? Strip joints?
To nuke them is to add unnecessary misery to the yokels and the hoi polloi at large.
I wholeheartedly agree with you on this one. Other than human beings, there is nothing else of significant value there.
I feel sorry for those people for being cut off from the rest of the world. Look at how prosperous the south is. No wonder why you have North Korean defectors defecting to South Korea but I have never heard of South Korean defectors defecting to the North.
Hapa nadhani una hoja. Ila pia kama DPRK (halafu unajua kirefu cha DPRK) ikifanya makosa na kurusha hayo makombora yake huko Seoul basi mwanzo wa mwisho wa utawala wa akina Lil' kim ndo utawadia.
Naweza kabisa kusema ni guarantee kuwa Lil' Kim hatakuwa tena kiongozi wa DPRK baada ya hapo na itakuwa deja vu all over again na Abrams tanks zitajivinjari kwenye mitaa ya Pyongyang kama zilivyojivinjari kwenye mitaa ya Baghdad. Na watu wa kawaida watapata ukombozi.
unaongelea N korea kama mambulula tanzania hawa jamaa technologia ya war weapon ipo juu sio mchezo ata wamarekan wanalijua hilo na wanawahofia kwani wana makombora ya masafa marefu ambayo yanaweza kuidhuru ardhi ya marekan ndo sababu kubwa wanaweka base pale s korea kwa usalama wao na kupaata baadhi ya vtaarfa kutoka n korea HUWEZI IFANANISHA KORWA NA IRAN ET NA LIBYA AU IRAQ HIZ NI NAMBA NYINGINE ZINAZOWAZIA HOFU WAMAREKANI MIAKA ENDA MIAKA RUDI