King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 60,433
- 88,780
Ha Ha Ha wadau leo nimekutana na mzungu akanipiga mzinga ili aweze kusukuma siku hadi j5 ambapo dada yake atamtumia hela kutoka marekani kwa madai eti account yake imeblockiwa,Nikamtell live kwamba sina kitu kwa kumsaidia tu nikamwambia nenda ubalozi wa marekani pale watakusaidia tu kwa kuwa ni raia wao,Wadada Kuweni makini sio kila mzungu ana hela ili mkaringishie nao u-turn wengne ni magumashi tu,matapeli ha ha ha ha ha ha
ila nazani huwajui vizuri hawa watu hata kidogo ndio mana wasema ivo ila laiti ngeliwajua hata nukta ya undani wa mioyo yao usingeweza kuwasalimia hata salamu na ungepigana kufa na kupona asije hata mmoja kuja kuwekeza hapo nchini ila koz huwajui ndio mana wawatetea na hakuna aliyekuja hapo kutalii hata mmoja kila unayemuona hapo kuna kilichomuleta na akikipata atasepa...............hawaji hapo bila sababu za msingi hilo weka akilinilabda ni mmoja wa wale wanaotembea kuzunguka dunia na wanategemeaga kupata vibarua ili kuji sapoti sasa inawezekana hapa nchini kwetu mnajua tena vibarua ni mmmmhhh. so kwa mie siogopi na sioni nini umuhimu wa kusema vibaya wazungu etc sababu umeobwa pesa.
ningekuwa mie ningemsaiia na sio kuwa na hasira eti mzungu wakina dada tusi.... haina maana hasira weka pembeni kwani huyo kakuambia ni masikini unaweza kuta anajaribu maisha around the world kama kawaida zao na ni tajiri kuliko wewe
oyaaaaa acheni zarau ya wazungu sijui wanini sababu ndugu zetu wa kike wanatoka nao.
Na kwa Tz tulivyokuwa na louse system waweza kukuta residential permit yake kapata kama mwekezaji🙂
Ha Ha Ha wadau leo nimekutana na mzungu akanipiga mzinga ili aweze kusukuma siku hadi j5 ambapo dada yake atamtumia hela kutoka marekani kwa madai eti account yake imeblockiwa,Nikamtell live kwamba sina kitu kwa kumsaidia tu nikamwambia nenda ubalozi wa marekani pale watakusaidia tu kwa kuwa ni raia wao,Wadada Kuweni makini sio kila mzungu ana hela ili mkaringishie nao u-turn wengne ni magumashi tu,matapeli ha ha ha ha ha ha
kutoa ni moyo, hukupaswa kuja kututangazia.