umeelezea kizungu zaidi hahahahaPaka akiwa mnene ni paka wa kizungu,paka akikondeana ni paka wa kiswahili,
Kuku anayewekwa mahali safi,analindwa,ni kuku wa kizungu ila wale wanaorandaranda wa kienyeji
Mtu akiwa anajali muda msafi ,ana. pesa -yule jamaa mzungu sana hana longolongo kabisa hanaga uswahili kabisa
Lakini mtu muongo,hajali muda ni mswahili-ah yule jamaa mswahili sana maneno mengi,tapeli nk
Mbwa akiwa na mkia mnene,manyoya ni mbwa wa kizungu ila vimbau mbau,wabaya wa kiswahili
Kwenye mabishano au mtu akisifiwa utasikia mimi sini mzungu ,mie siyo mswahili(tapeli tapeli,muongo muongo,hajali muda) kama wewe
Huku kwetu mzungu ni Donald Trump.Huku kitaani kwetu Mzungu ni MTU ambaye hana ishu za kijinga jinga kwanza mpole mstaarabu afu hana ishu za kufatilia maisha ya watu ....ila ukimtokea naye anakutokea...
Hahaha umeongea point Kama mzunguPaka akiwa mnene ni paka wa kizungu,paka akikondeana ni paka wa kiswahili,
Kuku anayewekwa mahali safi,analindwa,ni kuku wa kizungu ila wale wanaorandaranda wa kienyeji
Mtu akiwa anajali muda msafi ,ana. pesa -yule jamaa mzungu sana hana longolongo kabisa hanaga uswahili kabisa
Lakini mtu muongo,hajali muda ni mswahili-ah yule jamaa mswahili sana maneno mengi,tapeli nk
Mbwa akiwa na mkia mnene,manyoya ni mbwa wa kizungu ila vimbau mbau,wabaya wa kiswahili
Kwenye mabishano au mtu akisifiwa utasikia mimi sini mzungu ,mie siyo mswahili(tapeli tapeli,muongo muongo,hajali muda) kama wewe
Huku kwetu Kwamtogole ukibadilisha mboga tu unaitwa mzungu.Uzungu ni ustaarabu wa kimagharibi..unaweza kua mwafrica ukawa umestaarabika kimaghalibi(assimilation).wew ni mzungu tuu
Habari za jioni wakuu Nimekuwa nikijiuliza ili swali bila kupata majibu yanayoridhisha, hivi mzungu ni Nani kiasili wazungu ni wakina Nani ili nimuite mzungu awe na viashiria gani... Karibuni sana
Mrusi?Wafuatao ndo wazungu
:1 Waingereza
2: Wafaransa
3: Wajeruman
4: Wamarekani weupe
5:wacanada
6Waaustralia
7.... Wote nchi za Ulaya
Hawa siyo wazungu japo weupe.
Bara Asia
Bara Hindi
Latin America
Mzungu ni mnyamwengaHabari za jioni wakuu Nimekuwa nikijiuliza ili swali bila kupata majibu yanayoridhisha, hivi mzungu ni Nani kiasili wazungu ni wakina Nani ili nimuite mzungu awe na viashiria gani... Karibuni sana
Mrusi ni MzunguMrusi?
Madame unataka kusema kila aliezaliwa Europe ni mzunguWazungu ni wazawa wa Ulaya (Europe).