Mzungu na nyani

Mzungu na nyani

ammah

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2010
Posts
222
Reaction score
70
Mzungu alipita na nyani wake mbele ya kigenge cha muuza ndizi, yule nyani akapora ndizi akala. Muuzaji akamkasirikia, mzungu akasema unakasirika nini wakati kala ndugu yako! Mzungu akaondoka, aliporudi akuta nyani wake kafa. Akauliza kwa nini mmemuua nyani wangu? Muuzaji akajibu hayakuhusu haya mambo ya kifamilia!
 
duu umenuchekesha sana man we mbunifu
 
Ee bana we, kumbe jamaa muuaji, huyo mzungu nae ngozi kama kitimoto
 
Ha! ha! ha! haaa! Safi sana. Sasa mzungu alitaka iweje. Hayamuhusu mambo ya nyani na nduguye. Tehe!! tehe.!!
 
utani mwingine bwana..!!!..njoo ulaya utoe jokes kama hii..,kama ndugu zako hawajakuua wewe...kind of fun still..
 
Teh teh teh teh teh teh teh kumbe na sisi ni noma!
 
Back
Top Bottom