Mzungu na mdada wa kibongo uswahilini!!!

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Posts
7,113
Reaction score
943
Kuna mzungu mmoja alikuja nchini kikazi,sasa ili japo awe anapiga story na mswahili ikampasa kuanza kujifunza kiswahili.
Baada ya mafunzo mafupi akakalili maneno matatu katika salamu(Jambo,salama,safi sana)

Siku moja asubuhi akakutana na dada mmoja aliyefiwa,maongezi yao yakawa hivi:
Mzungu:dada Jambo?
Dada:Sijambo!
Mzungu:Salama?
Dada:Siyo salama nimefiwa.
Mzungu:Safi sana!!!!!
 
Otea kiliendelea nini.
 
Back
Top Bottom