Mzungu avua nguo airport Dar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mzungu avua nguo airport Dar

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by CPU, Jan 28, 2011.

 1. CPU

  CPU JF Gold Member

  #1
  Jan 28, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mzungu mmoja ambaye sikuweza kufahamu jina lake aliamua kuvua nguo zake zote akiacha ya ndani tu baada ya wakaguzi wa uwanja wa ndege Dar kuwa na wasiwasi nae.

  Katika tukio hilo la aina yake leo Jan 28 asubuhi, mzungu huyo aliona ni bora achukue hatua hiyo baada ya kila akipita ktk zile mashine za kukagulia wasafiri wa ndege hapo uwanjani kupiga kelele. Cha ajabu zaid hata pale alipovua nguo na kupita bado mashine ilitoa mlio, ambapo iliwalazimu wakaguzi kwenda kumkagua kwa undani ktk vyumba vya ndani hapo airport, ambapo hakugundulika na kitu chochote cha hatari badala yake ikagundulika mashine ya ukaguzi ilikuwa mbovu.

  Watu wengi waliokuwa karibu na eneo hilo walishtushwa na hatua ya huyo mzungu lakin wakatoa lawama kwa uongozi wa airport.
  Baadae mzungu huyo aliruhusiwa kuendelea na safari yake na ametishia lazima akaushitaki uwanja kwa Baraza la Viwanja vya ndege Duniani

  Habari hii nimeikusanya mimi mwenyewe CPU nilipokuwa ktk eneo la tukio
   
 2. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2011
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Akashtaki kokote!
  Kwani alilazimishwa kuvua nguo zote au alitaka mwenyewe kuvua? Mbona inapotokea kuwa mashine imetoka mlio unapopita wanakukagua bila kukutoa nguo zako! Mimi nashangaa hawa wazungu. Wakiwa kwetu wanataka wasipitie taratibu.Kitendo cha yeye " kuvua nguo zote" nakitafsiri kama dharau.Huko kwao tukienda mbona tunasumbuliwa hivyo hivyo tena kibaya zaidi wanaweza kuacha kila mtu wakakuchukua wewe mtu mweusi na kusema computer imeku pick randomly for thorough search..huwa hatupendi lakini kwa vile ni sheria za usalama basi huwa tunakubali.Tena wakati mwingine wanakulazimisha utoe viatu wavifanyie swabbing..vyote tunapambana navyo na hatujawahi kutishia kwenda kushtaki kokote.Hizi taratibu za ukaguzi ni za kimataifa..akashtaki popote!
   
 3. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #3
  Jan 28, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  angevua hata chupi. wao kwao mmatumbi ukiingia hata supermarket camera zote za ulinzi zinaelekezwa kwako.
   
 4. CPU

  CPU JF Gold Member

  #4
  Jan 28, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mzungu alikosea kuvua nguo, pengine labda angeambiwa afanye hivyo ila kwa upande wetu something is wrong at the airport, coz wasipojua tatizo lao na hiyo ishu ikaja kusumbua wasafiri wengi itawagharimu mno, wataadhibiwa kweli
   
 5. Diehard

  Diehard JF-Expert Member

  #5
  Jan 28, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 370
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Hivi chupi sio nguo??????????????????
   
 6. kakuruvi

  kakuruvi JF-Expert Member

  #6
  Jan 28, 2011
  Joined: Sep 2, 2009
  Messages: 646
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Ni nguo! tena ya ndani ya nguo!
   
 7. CPU

  CPU JF Gold Member

  #7
  Jan 28, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Lol . . . ni nguo ya ndani, ila siyo ya kuonekana nje
   
 8. s

  shosti JF-Expert Member

  #8
  Jan 28, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  umeongea vyema kabisa,ukiingia dukani atawaacha watu wote aje akuulize akusaidie nini?
   
 9. mgen

  mgen JF-Expert Member

  #9
  Jan 28, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 15,168
  Likes Received: 1,895
  Trophy Points: 280
  Mmemchelewesha angeshitakiwa yeye kwa utovu wake!
   
 10. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #10
  Jan 28, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Ufisadi unafanya mishipa ya ayb ishindwe kufanya kazi. Typical bongo stupidity.
   
 11. S

  SUWI JF-Expert Member

  #11
  Jan 28, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 548
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  alikuwa wa kike au wa kiume huyu mzungu!!!
   
 12. kiwi2010

  kiwi2010 Member

  #12
  Jan 28, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  wakike,tena amejaaariwa kwelikweli.
   
 13. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #13
  Jan 28, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  ntaenda na mimi nikapite tu ili .....manake jua limezd jooooto mweeeee!!!
   
 14. S

  Simbamwene JF-Expert Member

  #14
  Jan 28, 2011
  Joined: Jun 22, 2008
  Messages: 287
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Vifaa pale DIA ni vibovu sana hata mimi waliniambia nitoe saa, mkanda viatu nikapita mtambo ukapiga kelele.
   
 15. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #15
  Jan 28, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  :msela:"If you cant convince them, CONFUSE THEM":msela:

  nimeipenda hiyo maana sasa umeamua kutu-confuse
   
 16. CPU

  CPU JF Gold Member

  #16
  Jan 28, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Hahahah ni wa kiume bwana, ila alikuwa na mtalimbo haswaaaa teh teh teh
   
 17. kisu

  kisu JF-Expert Member

  #17
  Jan 28, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 802
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Chukua na Kamera halafu utuwekee picha zako hapa JF ili tuzichakachue!!!
   
 18. CPU

  CPU JF Gold Member

  #18
  Jan 28, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Hahahahahah Kiherehere bwana, sasa nimewa-confuse kwa lipi??
   
 19. loveness love

  loveness love Senior Member

  #19
  Jan 28, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  tehetehetehe umeniacha hoi! ningekua mwanaume ningekusindikiza lkn basi fanya fasata uwende ndugu
   
 20. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #20
  Jan 28, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hahaaa mtalimbo umelala doro
   
Loading...