Mzungu apiga risasi watu 9 Kanisani Marekani

Mzungu apiga risasi watu 9 Kanisani Marekani

Back to Africa movement; karibuni Negro wote mnaofugwa ukimbizi wa slave trade huko America, tatizo na nyie mna nyodo kwetu Waafrika ila nyie ndugu zetu tu
 
As long as Africans continue to believe this words , we will perish. Christianity was the worst thing to happen to Africans, sababu tutaonewa na kuendelea kugeuza shavu eti tutazawadiwa Baada ya kufa. Huku wengine wanafaidika wakiwa hai. Hao hao walioleta hilo neno hawageuzi shavu, kwanini sisi tunaendekeza huu ujinga ???

Ofcoz we must think twice.maneno mengine yamewekwa kuruhusu watu wakubali kuonewa.

Akikupiga kulia mpinge kulia.
 
Nonda

Teh teh teh. Ishmael bin MaxShimba anadai yeye ni mzungu kiroho.
Ile ngozi nyeusi km yangu ni Bahati mbaya tu.

Siku ya ufufuo anasema atafufuliwa na sura km yule anaemuabudu.

Kaazi kweli kweli.
 
Last edited by a moderator:
As long as Africans continue to believe this words , we will perish. Christianity was the worst thing to happen to Africans, sababu tutaonewa na kuendelea kugeuza shavu eti tutazawadiwa Baada ya kufa. Huku wengine wanafaidika wakiwa hai. Hao hao walioleta hilo neno hawageuzi shavu, kwanini sisi tunaendekeza huu ujinga ???

For status Christianity was brought to Africans in order to soften Africans minds to accept ukoloni, wakatupumbaza vya kutosha na kujichotea neema zetu walivyotaka, sasa huu umbumbumbu umetukaa hadi leo hata kwa suala km hili hatutaki kuuona ukweli, mzungu ni mtu hatari sn na hakuwahi mpenda mwafrika(haijalishi ni wa dini gani) so tusijisahau.
 
Mwambie haya maneno mzungu wa kubatizwa Ishmael na Echolima uone matusi yao.

Hawa Waswahili ngozi nyeusi km mimi wanasema wao ni wazungu kiroho. Na ni wayahudi ndani ya mwili.

Teh teh teh.
Sijawahi kuona mtu anachukia asili yake km hawa watu.
Hata Michael Jackson alikuwa ana afadhali.
 
وَلَا تَقُولُوا لِمَا تَصِفُ أَلْسِنَتُكُمُ الْكَذِبَ هَٰذَا حَلَالٌ وَهَٰذَا حَرَامٌ لِّتَفْتَرُوا عَلَى اللَّهِ الْكَذِبَ ۚ إِنَّ الَّذِينَ يَفْتَرُونَ عَلَى اللَّهِ الْكَذِبَ لَا يُفْلِحُونَ
kahtaan Acha uongo wala kusingizia watu maneno ya uongo Quran imekuzuia kusema uongo,wewe kila siku huwa nakuambia Uislamu huuwezi hiyo ni dini ya waarabu wewe umefanya kudandia tu wewe umepewa lift tu hilo gari ni la waarabu,Sasa wewe unapoponda dini ya kikristo wakati Uislamu nao ni wa waarabu sasa wewe Mmatumbi unataka kujifanya unajua KUCHAMBA kuliko wenye dini????Wenzako wanaoijua Dini mwezi kama huu huwezi kuona wanaleta longolongo kama zako wametulia tuli kwa allah wap.Wewe huwezi kumshawishi mtu yeyote akakubali kuwa nawe eti ni Mwislamu labda Mwislam koko.
 
Last edited by a moderator:
For status Christianity was brought to Africans in order to soften Africans minds to accept ukoloni, wakatupumbaza vya kutosha na kujichotea neema zetu walivyotaka, sasa huu umbumbumbu umetukaa hadi leo hata kwa suala km hili hatutaki kuuona ukweli, mzungu ni mtu hatari sn na hakuwahi mpenda mwafrika(haijalishi ni wa dini gani) so tusijisahau.

Vipi kuhusu Uislamu huo unausemeaje????
 
Ofcoz we must think twice.maneno mengine yamewekwa kuruhusu watu wakubali kuonewa.

Akikupiga kulia mpinge kulia.

Wewe unataka kusema ume-Think Twice??? Watu mpaka leo hii karne ya 21 watu wanadanganywa wanaenda mecca na kwa ujinga uliopitiliza wanaambiwa eti wampige shetani kwa mawe nao bila ku-Think Twice kweli wanapiga hewa huku wanaona hii ni akili ya ajabu sana.
 
Je huu so ugaidi? Kuwapiga watu risasi ambao wanafanya ibada.

Hebu wataalamu nunaoupenda ugaidi Watanzania niwekeni saw a kwa chili.
Na kama hii move imepewa jina jingine tutegemee litakua jipya tuambizane .
 
FarePlay

As long as Africans continue to believe this words , we will perish. Christianity was the worst thing to happen to Africans, sababu tutaonewa na kuendelea kugeuza shavu eti tutazawadiwa Baada ya kufa. Huku wengine wanafaidika wakiwa hai. Hao hao walioleta hilo neno hawageuzi shavu, kwanini sisi tunaendekeza huu ujinga.

Wajinga tu ndiyo watakubali Uharo wako,Dpnt Under-estmate dini za watu kwani wewe Uislamu wako wewe una mapungufu mangapi???mbona huyasemi???
 
Last edited by a moderator:
GAIDI ZUNGU LA KIKRISTO...
Wakiristo wabongo kwa kujipendekeza kwa wazungu...
Wazungu wanaona nyinyi Sokwe na Nyani tu...
Huku sasa hivi wanapongezana wameua Sokwe tisa

Huna kumbukumbu wewe Mwarabu huko Saudia kaua watu lukuki Msikitini na Iraq syria waarabu wanauana hayo hukuona kabisa mpaka wiki hii Huko Iraq watu 16 wamewekwa kwenye cage baadaye kuzamishwa kwenye dimbwi la maji wakiwa hai na wengine kufungwa na baritu kwa pamoja baadaye kulipuliwa ni unyama ambao Binadamu hawezi kuufanya lakini Mwarabu kafanya,Ni ujinga uliopitiliza Kuwaabudu.
 
Unajua historia yoyote kuhusu slave trade.mwarabu alikuwa anamuuza mwafrika kwa mzungu .sorry watu hawakuelewi usikate tamaa keep on writing .Usishikwe na hasira ukikosolewa learn and move on .A lot of crazy and bitter people nowadays .Smile and be happy life is good

Kwa hiyo kwa sababu Mwarabu aliuza Babu zako kwa mzungu ndiyo maana unawaabudu???Ni Upuuzi tu huo
 
Na sisi tuache kujipendekeza kwao

Miss chaga, upo mdada? sijukuona humu siku nyingi. Ni kweli tuache kujipendekeza, yani sijui tumelogwa na nini eti mtu akiwa na boyfriend/girlfriend mzungu anajisikia kuwa kayapatia maisha, damme it!!! hawa jamaaa ni kitimoto tu, japo ni member wa kitoweo hiki.
 
mkuu majukumu tu yamenibana....... mimi huwa sielewi kila kitu tunaiga kwao ndiyo tunaona ustaarabu ... kiukweli kunawakati wakitufanya vitu mi naonaga si ndiyo chanzo,... hata hapa bongo unaweza kuwa na issue inafanana na hawa vitimoto lijitu leusi litafanya fasta .. ha;afu jitu mwenzie mweusi atamletea nyodo.. nyambafu kabisa
 
Ingekuwa kweli mzungu anawapenda watu weusi asingeweza kuwaangamiza na "bad blood" aka syphilis and conduct human experments on negro male population to cure untreated syphilis bila kujali n dawa zilikuwepo sana tu bt nani wa kuwatibu weusi au useless eaters? na bado hapo tunasema bado wanatupenda mapenz gan haya???
 
mkuu majukumu tu yamenibana....... mimi huwa sielewi kila kitu tunaiga kwao ndiyo tunaona ustaarabu ... kiukweli kunawakati wakitufanya vitu mi naonaga si ndiyo chanzo,... hata hapa bongo unaweza kuwa na issue inafanana na hawa vitimoto lijitu leusi litafanya fasta .. ha;afu jitu mwenzie mweusi atamletea nyodo.. nyambafu kabisa

Yani uko sahihi kabisa, mmi juzi nilikuwa uwanja wa ndege Mwl. JKNIA dirisha la kenya airways na nunua ticket, wafanyakazi pale walikuwa ni wadada wawili kwa bahati nzuri wanaongea kiswahili cha bongo, nilihisi furaha kwani nilijua nahudumiwa na ndugu zangu, kabla hawaja print ticket yangu walikuja wazungu wawili, wao walionyesha ustarabu kwa kusubiri mpaka mimi nihudumiwe na kuondoka!!!! Ajabu ya mwaka; walinipotezea na wote wakaanza kuwachangamkia wale wa wazungu, yani wote wawili, mzungu mmoja alinishitukia kuwa nimechukizwa na akamvuta mwenzie kama mita moja hivi nyuma, niliwauliza wale wadada kwa nini hammalizani na mimi kwanza ndio muendelee na wateja wengine tena ambao wamenikuta? Nilijuta, niliporomoshewa maneno mazitomazito sikuamini. Naungana na ww Miss Chaga kuwa sisi ndio chanzo cha matatizo, acha watutwange risasi tu
 
na bado tutaiwa hadi vidole machoni... yani kila kitu kimetoka kwao siasa, elimu, dini, na hata utamaduni wa kwetu tunaufukia na kufuata wa kwao.. tulilobakia nalo tuheshimiane sisi kwa sisi .. mijitu meusi inakuwa haijielewi inaanza kuwatetemekea kwanza tupo kwetu lakini hatuna uhuru .. nyambafu kabisa
 
29EFEF9200000578-3137985-Great_honor_Emanuel_AME_Church_pastor_and_South_Carolina_State_S-a-40_1435172300591.jpg

  • SHARE PICTURE

+20

Honored: Emanuel AME Church pastor and South Carolina State Sen. Clementa Pinckney lies in state at the South Carolina State House

29EFC8B700000578-3137985-A_South_Carolina_Highway_Patrol_honor_guard_stands_over_Sen_Clem-a-53_1435189128058.jpg

  • SHARE PICTURE

+20

29F1BC2F00000578-3137985-image-a-54_1435189128174.jpg

+20

A South Carolina Highway Patrol honor guard stands over Sen. Clementa Pinckney's body in the Statehouse rotunda. He was one of nine people killed during a Bible study class at Emanuel AME church in Charleston last week

29EFE0B600000578-3137985-image-a-1_1435186885917.jpg

  • SHARE PICTURE

+20

Clementa Pinckney's widow Jennifer and their daughters Eliana, 11, and Malana, six, follow his casket into the statehouse Wednesday

29EFA1C400000578-3137985-Indignity_The_funeral_procession_took_Pinckney_s_body_on_a_caiss-a-39_1435172300560.jpg

+20

The funeral procession took Pinckney's body past a Confederate flag flying over the state Capitol. There had been many calls to take it down

29F00D2E00000578-3137985-Eliana_Pinckney_L_and_mother_Jennifer_C_hug_mourners-a-65_1435189960744.jpg

  • SHARE PICTURE

+20

29F04FC800000578-3137985-image-a-64_1435189960659.jpg

+20

Outpouring of love: Widow Jennifer Pinckney (left) and her daughters (right) are hugged by other mourners who came to say a final farewell

Back
Top Bottom