Mzungu apiga risasi watu 9 Kanisani Marekani

Mzungu apiga risasi watu 9 Kanisani Marekani

Wazungu wabaguzi sana,kwahili Obama aonyeshe msimamo wake sasa

Sasa obama anaubavu gani ? USA Ina 3 branches of government .unaambiwa foundation fathers wa nchi hii waliitengeneza hii nchi kiasi kwamba no socialism no dictatorship .Obama mwenyewe hizo executive order zake zimestopishwa mahakamani .Na hiyo obama care sasa hivi ipo Supreme Court huko wakiitupia mbali ndio imetoka .we
 
Elungata
Polisi katika jimbo la South Carolina nchini Marekani wanamsaka mtu mwenye silaha alihusika katika shambulio katika Kanisa la Methodist lililo katika eneo la Charleston.
Habari ambazo bado hazijathibitishwa kutoka vyombo vya habari vya eneo hilo zinasema kumekuwepo na vifo kadha.
Polisi huko Charleston wanasema mtuhumiwa ni mzungu mmoja akiwa katika umri wa miaka ya ishirini.
Shambulio hilo limefanyika katika Kanisa la Emanuel African Methodist Episcopal Church, moja ya makanisa kongwe ya Waafrika Wamarekani nchini Marekani.

Episcopal ni Anglikana USA sio Methodist .
 
Last edited by a moderator:
western media ni double standard sn,ingekua ni mwarabu apo ungeskia GAIDI,kila media,kila kiongozi ange-conderm hilo tukio,lkn kwakua ni mzungu utaskia one-man incident, na ss waafrika tunapelekwa km kondoo,western media chooses on how and what we should think and believe

Mzungu anaiita mental illness
 
This is a racist act.Racism at its best .Its a federal crime kwa Sababu alisema wanaume weusi wanabaka wanawake wa kizungu(labda kachukuliwa demu ) .ukimuangalia sura Yake anaonekana ni criminal na haters
 
Huyu jamaa angekuwa Muislam vyombo vyote vya habari vingemuita GAIDI bahati nzuri ni Mkristo anaitwa muharifu.
Nimeshindwa kushangaa! Ishmael hakuiona hii habari? Au alitaka kuhakikisha kuwa jamaa ni mwalabu(muislamu) ndio arushe habari hewani kama kawaida yake!!??

Zawadi Ngoda uko wapi? Umesalimika?

Kuja hapa, ueleze kilichotokea.
 
Umejuaje kama huyo mzungu ni mkristo?

Wazungu wote ni Wakristo! Asikudanganye mtu! Hata kama atakwambia sijui hana dini au atakwambia haendi kanisani lkn ukweli unabaki kwamba wazungu ni Wakristo!

Ukristo siyo kwenda Kanisani au kusimama kwenye majukwaa kama Gwajima na kuhubiri, ukristo ni mfumo wa maisha, ukristo ni utamaduni hivyo Mzungu yoyote yule mwenye asili ya Ulaya kwa kupenda au kutokupenda ni mkristo na ana sehemu ya huu Utamaduni, hata watu kama akina Dawkins wanajiita wapagani lkn wana ishi maisha yaliyo na ukristo ndani bila hata kujijua hivyo wasikuzingue kwa kukwambia sijui mimi atheist sijui evolutionist lkn wote maisha yao yameathiriwa na ukristo!

Ulishajiuliza kwanini Marekani hela yao imeandika ,,In God we trust"? Mbona hakuna maandamano kupinga hilo? Ingawaje hapo hapo wanakwambia ya kwamba Serikali yao haina Dini? Unajua kwa nini Wimbo wa Taifa wa Uingereza unasema ,,God bless the Queen" ingawaje wanakwambia kwamba wantenganisha Serikali na Dini? Wazungu ni waelevu klk unavyodhania
 
29C23D5000000578-3130396-image-a-18_1434666874110.jpg

  • SHARE PICTURE

+51

Baby-faced 'killer': Dylann Storm Roof held court papers in his cuffed hands as a police officer held him by a chain

29C240C200000578-3130396-image-a-20_1434667027192.jpg

+51

Being escorted: He was chaperoned, in chains and a bullet proof vest, by more than a dozen armed officers onto the plane

29C19CBA00000578-3130396-image-a-13_1434657952409.jpg

  • SHARE PICTURE

+51

All smiles: Roof appeared to smile as he was hauled away from the Shelby Police Department in North Carolina at noon on Thursday

29C196A000000578-0-image-a-2_1434657739546.jpg

+51

Glares: He looked intensely at the camera as he was escorted from the police station just a few hours after his arrest

29C1A29D00000578-3130396-image-a-25_1434658466413.jpg

+51

29C19C9100000578-3130396-Intense_The_21_year_old_was_captured_this_morning_after_fleeing_-m-24_1434658458374.jpg

+51

Intense: The 21-year-old was captured this morning after fleeing from the South Carolina church where he shot nine dead

29C19F6500000578-3130396-image-a-17_1434658063245.jpg

+51

Tied up: The Columbia man allegedly joined the churchgoers for as long as an hour before he gunned them down

29C1B00300000578-3130396-image-m-9_1434664720454.jpg

+51

29C1B0C700000578-3130396-image-m-11_1434664763669.jpg

+51

The 21-year-old, who repeated the ninth grade, used to be a skate boarder with long hair. Recently he had been talking about starting a civil war

29C1A1A100000578-3130396-image-a-20_1434658402878.jpg

  • SHARE PICTURE

+51

Led away: Roof appeared to smile again as he was taken away from the police department as members of the media swarmed nearby

29C1D29900000578-3130396-image-m-4_1434664591679.jpg

+51

His black pants were cuffed to make room for his shackles over his Timberland boots

29C1B23800000578-3130396-Heading_back_south_Roof_has_waived_extradition_in_North_Carolina-m-1_1434664517467.jpg

+51

Heading back south: Roof has waived extradition in North Carolina and has been cleared to return to South Carolina

29C1B9B800000578-3130396-image-a-35_1434660054119.jpg

+51

29C1B45E00000578-3130396-image-m-34_1434660048901.jpg

+51

Locked up: Roof, pictured looking down in the police car, had spoken about 'starting a civil war' for months, his roommate said

29C1AB5C00000578-3130396-image-m-14_1434664893899.jpg

+51

His slight, 5'9 frame was hidden under a baggy t-shirt and the bullet proof vest

Mzungu amepiga risasi Wamarekani weusi wenye asili ya Afrika wakiwa kanisani kwenye Ibada, sasa hapo udini unaweza kuepukika vipi? Unaweza kuniambia?

sasa kama mada ni mzungu na waafrika waliokuwa kanisani....waarabu wameingiaje????
 
29BDD4D900000578-3130396-image-a-6_1434662764894.jpg

  • SHARE PICTURE

+51

29B9FFFB00000578-3130396-Reverend_Clementa_Pinckney-a-1_1434662762559.jpg

+51

Victim: The Reverend Clementa Pinckney, left and right, has been confirmed as one of the dead who was killed in the massacre

29C2BEBF00000578-3130396-image-a-28_1434684159381.jpg

+51

29C2BEBB00000578-3130396-image-m-27_1434684144444.jpg

+51

Victims: Susie Jackson, 87, (left) and Ethel Lance, 70 (right) were also killed in the attack on Wednesday night
 
29BF9DFF00000578-3130396-Condolences_President_Obama_beside_Vice_President_Joe_Biden_call-a-10_1434662767369.jpg

  • SHARE PICTURE

+51

Condolences: President Obama, beside Vice President Joe Biden, called the murders 'senseless' from the White House

29BF98BE00000578-3130396-Anger_He_said_it_shows_the_need_for_gun_control_Communities_have-a-13_1434662767376.jpg

+51

Anger: He said it shows the need for gun control 'Communities have had to endure tragedies like this too many times,' he said

29BFCC6200000578-3130396-Silence_Senator_Cory_Booker_Rep_John_Lewis_and_Senator_Joe_Manch-a-21_1434662770009.jpg

+51

Silence: Senator Cory Booker, Rep. John Lewis and Senator Joe Manchin pray with other members of the US Congress during a prayer circle in front of the US Capitol to honor those gunned down last night inside the Emanuel African Methodist Episcopal Church

29BF95D500000578-3130396-Moved_US_Congressman_Jeff_Denham_center_prays_with_Senator_Chris-a-7_1434662765551.jpg

+51

Moved: US Congressman Jeff Denham (center) prays with Senator Chris Coons (2nd left) and Congresswoman Shelia Jackson Lee (left) in front of the US Capitol in Washington, DC during a moment of silence for the victims on Thursday

29BEF9CF00000578-3130396-image-a-9_1434662765557.jpg

+51

Loved: A photo from Thursday shows a black cloth placed over Senator Pinckney's seat in the South Carolina Senate

29BEEABD00000578-3130396-Emotional_State_Senator_Vincent_Sheheen_gets_emotional_as_he_sit-a-8_1434662765554.jpg

+51

Emotional: State Senator Vincent Sheheen gets emotional as he sits next to the draped desk of state Senator Clementa Pinckney

29C17DC000000578-3130396-image-a-22_1434662770943.jpg

  • SHARE PICTURE

+51

29C023C500000578-3130396-_Incomprehensible_Cynthia_Hurd_who_had_worked_for_Charleston_lib-a-26_1434662772173.jpg

+51

Victims: DePayne Middleton, 49, left, had retired in 2005 as Charleston County director of the Community Development Block Grant Program. Cynthia Hurd, right, who had worked for Charleston libraries for 30 years, also died

Barbarosa
Mkuu Barbarosa unapenda vibaya. Unataka kutuaminisha kwamba muarabu ni mtu mzuri sana kwa sababu mzungu kaua waafrika tisa?
 
Last edited by a moderator:
Barbarosa

Bwana Barbarosa nakubaliana Na wewe kwamba wazungu wanatuona sie ni watu wa mwisho kabisa (Na kiukweli sie ni wa mwisho tupo nyuma ya kila race kwa vitu kibao). Lakini kumbuka mwenye power ndio mwenye haki sasa kwa mfano sisi weusi tungekua na power zaidi ya wazungu unategemea wangepona kweli..hata hapa kwetu tu wenyewe tunabaguana
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Barbarosa unapenda vibaya. Unataka kutuaminisha kwamba muarabu ni mtu mzuri sana kwa sababu mzungu kaua waafrika tisa?

Nisome tena pole pole labda utanielewa, lazima nikiri nina mapungufu saa nyingine kwenye kuweza kuandika na kueleweka na kila mtu! Ni wapi niliposema kwamba mwarabu ni Mtu mzuri?
Nina uhakika wewe utakuwa ni mkristo na unarudi pale pale kwenye makosa yetu sisi kama Waafrika (weusi) tunafikiri kwa kuwa sisi ni Wakristo basi Mzungu Mkristo ni mwenzetu au kwa kuwa sisi ni Waislamu basi Mwarabu Muislamu ni mwenzetu na tunapigana na kutoana ngeo kwa ajili ya kutetea Mwarabu au Mzungu wakati wenyewe wazungu na Waarabu wanatuona sisi ni masokwe tu ambao hawastahili kuishi maisha sawa na yao na hapo ndipo tatizo lilipo!

Jaribu kumuangalia Mwafrika kama ndugu na mtu wako achana na mambo ya Uarabu na Uzungu ukifaulu hapo basi hata watu wengine pia watatuheshimu!
 
Bwana Barbarosa nakubaliana Na wewe kwamba wazungu wanatuona sie ni watu wa mwisho kabisa (Na kiukweli sie ni wa mwisho tupo nyuma ya kila race kwa vitu kibao). Lakini kumbuka mwenye power ndio mwenye haki sasa kwa mfano sisi weusi tungekua na power zaidi ya wazungu unategemea wangepona kweli..hata hapa kwetu tu wenyewe tunabaguana
Swali ni kwamba hiyo power Wazungu wameipata wapi? Na kwanini waitumie hiyo power kwetu tu (Sisi Waafrika weusi)? Power ya Wazungu inahusiana nini na sisi kujiita Donald, Julius, Wilbrod, William, kuandika majina yetu ya kiafrika kwa kizungu kama Zitto badala Zito au Sitta badala ya Sita? Ni kwa nini Wahindi hawaitwi Macdonald au Elizabeth?

Nisome tena pole pole labda utanielewa, lazima nikiri nina mapungufu saa nyingine kwenye kuweza kuandika na kueleweka na kila mtu! Ni wapi niliposema kwamba mwarabu ni Mtu mzuri?
Nina uhakika wewe utakuwa ni mkristo na unarudi pale pale kwenye makosa yetu sisi kama Waafrika (weusi) tunafikiri kwa kuwa sisi ni Wakristo basi Mzungu Mkristo ni mwenzetu au kwa kuwa sisi ni Waislamu basi Mwarabu Muislamu ni mwenzetu na tunapigana na kutoana ngeo kwa ajili ya kutetea Mwarabu au Mzungu wakati wenyewe wazungu na Waarabu wanatuona sisi ni masokwe tu ambao hawastahili kuishi maisha sawa na yao na hapo ndipo tatizo lilipo!

Jaribu kumuangalia Mwafrika kama ndugu na mtu wako achana na mambo ya Uarabu na Uzungu ukifaulu hapo basi hata watu wengine pia watatuheshimu!
Barbarosa huwezi jificha. Unawafagilia waarabu na unawachukia wazungu. Unachukizwa na watu wanaowachukia Waarabu kwa sababu ya Uislam. Hebu niambie hapa ulikuwa wamaanisha nini?

Tutajipendekeza tunavyotaka, tutaongea Kiingereza kama wao tunavyotaka, tutawachukia Waarabu kwa kuwa tu ni Waislamu na kuwapendelea Wazungu kwa kuwa wao ni Wakristo na sisi tunajiita Wakristo au kinyume chake, lakini mwisho wa siku kwa Mzungu mtu mwenye asili ya Afrika ni wa mwisho kabisa.
Na mwafrika kwa muarabu ni mtu wa ngapi?
 
Barbarosa huwezi jificha. Unawafagilia waarabu na unawachukia wazungu. Unachukizwa na watu wanaowachukia Waarabu kwa sababu ya Uislam. Hebu niambie hapa ulikuwa wamaanisha nini?

Na mwafrika kwa muarabu ni mtu wa ngapi?

Ndio maana nikasema nina tatizo la kuandika na kueleweka na kila mtu, kwa bahati mbaya sina hicho kipaji!
Sasa wewe una nakili aya moja na kuhitimisha kwamba nawapenda Waarabu na kuwachukia Wazungu lakini hautaki/hauwezi kusoma habari yote na ambapo hayo unayoyauliza nimeyaandika!
 
Back
Top Bottom