Mzungu apiga risasi watu 9 Kanisani Marekani

Mzungu apiga risasi watu 9 Kanisani Marekani

kahtaan quran inasema kama mambo yakiwachachia au yakiwashinda mtuulize sisi wataalamu wa maandiko tuwasaidie hata hiyo aya uliyoiweka imesema wazi kuwa baadhi msiwatii lakini sisi wengi mnatakiwa mtutii,Harafu wewe unaniambia kaa mbali ------,mimi siwezi kukaa mbali nanyi maana mambo yakiwachachia tuweze kuwasaidia.maana bila ------ hakuna uislamu maana hamtasaidiwa na mtu.

يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا لَا تَتَّخِذُوا الْيَهُودَ وَالنَّصَارَىٰ أَوْلِيَاءَ ۘ بَعْضُهُمْ أَوْلِيَاءُ بَعْضٍ ۚ وَمَنْ يَتَوَلَّهُمْ مِنْكُمْ فَإِنَّهُ مِنْهُمْ ۗ إِنَّ اللَّهَ لَا يَهْدِي الْقَوْمَ الظَّالِمِينَ

Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu.

Mkafiri Aliyelaaniwa Abadan hawezi kuwa Rafiki wa Muislamu.
Hilo halipo.

Wapi Mla nyamafu akashauri Mla Biriani ya Mbuzi.?
 
Last edited by a moderator:
Nyamafu tu mbona wewe unatumia mpaka kiti.moto maneno yako tosha kukuelezea wewe si Mwislamu ni Mkafiri tu tena yule wa kawaida.

wewe kama unabisha hilo vipi leo yule jamaa aliyelipua msikiti huko uarabu???kwanza yeye ni mwislamu kawalipua waislamu wenzie tena kwenye nyumba ya Ibada hapo wewe Barbarosa unatuambia nini????

Mambo ya msikitini siyajui kwa sababu mimi siyo Muislamu hilo kawaulize waislamu watakwambia!

Ni kweli angekuwa ni mwarabu sasa hivi tungekuwa tunaongea mengine na huenda angeshapelekwa Guatanamo bay saa hizi
western media ni double standard sn,ingekua ni mwarabu apo ungeskia GAIDI,kila media,kila kiongozi ange-conderm hilo tukio,lkn kwakua ni mzungu utaskia one-man incident, na ss waafrika tunapelekwa km kondoo,western media chooses on how and what we should think and believe
 
Nyamafu tu mbona wewe unatumia mpaka kiti.moto maneno yako tosha kukuelezea wewe si Mwislamu ni Mkafiri tu tena yule wa kawaida.

Kuna Mkafiri asiekuwa wa kawaida?

Teh teh teh.
Gongo na umaskini ni mbaya sana Kichwani.
 
Wajinga tu ndiyo watakubali Uharo wako,Dpnt Under-estmate dini za watu kwani wewe Uislamu wako wewe una mapungufu mangapi???mbona huyasemi???

Ni wapi nimeandika Mimi ni muislamu?! Haya mambo ndo nayakataa, eti kama mtu si mkristo basi ni muislamu. Aidha ni A or B; dunia ya watu billioni 6+ unafikiri dini ni mbili tu na ni moja tu ndo sahihi?? This is madness
 
Naona unajibizana na Mgalatia Echolima bila kumtambua.
Huyu jamaa ni mgambo asie na elimu hata ya kata.
Kachoka na maisha magumu kiasi kwamba anaropoka ovyo.

Msamehe bure.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom