Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 54,475
- 43,833
Mkuu kwani imekatazwa ku qoute?Sasa umeshindwa ku comment mpaka u quote post nzima?
Mkuu kwani imekatazwa ku qoute?Sasa umeshindwa ku comment mpaka u quote post nzima?
Kwani kuna tatizo gani kwenye majina kwani hakuna wahindi wanaoitwa John...kama unataka mtu aitwe Sita badala ya sitta bado unakosea..waafrika tengenezeni herufi zenu. Kuhusu kwanini waitumie kwetu sababu ni rahisi kuliko kuitumia kwenye race nyingine..ni ujinga kumlaumu mzungu kwa unyonge wetu yani unataka watu-treat fairly kitu hiko hakipo lazima ufanya mtu akuone uko sawa nae ndio atakupa heshimaSwali ni kwamba hiyo power Wazungu wameipata wapi? Na kwanini waitumie hiyo power kwetu tu (Sisi Waafrika weusi)? Power ya Wazungu inahusiana nini na sisi kujiita Donald, Julius, Wilbrod, William, kuandika majina yetu ya kiafrika kwa kizungu kama Zitto badala Zito au Sitta badala ya Sita? Ni kwa nini Wahindi hawaitwi Macdonald au Elizabeth?
Ndio maana nikasema nina tatizo la kuandika na kueleweka na kila mtu, kwa bahati mbaya sina hicho kipaji!
Sasa wewe una nakili aya moja na kuhitimisha kwamba nawapenda Waarabu na kuwachukia Wazungu lakini hautaki/hauwezi kusoma habari yote na ambapo hayo unayoyauliza nimeyaandika!
Haujanielewa nilichotaka kusema ni kwamba iwe fundisho kwetu kama kuna lolote la kujifunza hapo ya kwamba Mzungu Mkristo anachukia Mtu mweusi Mkristo mwenzake tena mwenye jina kama lake la Julius, Edward, Sospeter n.k kuliko anavyomchukia Mwarabu ambaye ni Muislamu na hata asiye na jina kama lake na wala asiyejua kiingereza!
Wewe ndio tatizo na siyo wao na huyo jamaa angekuona na wewe angekuwasha tu risasi dadadeki!
Kwa hiyo angekuwa mwislamu mweusi asingepigwa? Unataka kunambia waarabu na wahindi hawawachukii waafrica? Nani alimfunga mwafrika minyororo?
Pumba tupu! Sasa ndo umeongea lugha gani! Hayo maisha ya watu9,ingekuwa mwarabu hapo au mwaafrika,propaganda zingekuwa kubwa sana
Elungata
Polisi katika jimbo la South Carolina nchini Marekani wanamsaka mtu mwenye silaha alihusika katika shambulio katika Kanisa la Methodist lililo katika eneo la Charleston.
Habari ambazo bado hazijathibitishwa kutoka vyombo vya habari vya eneo hilo zinasema kumekuwepo na vifo kadha.
Polisi huko Charleston wanasema mtuhumiwa ni mzungu mmoja akiwa katika umri wa miaka ya ishirini.
Shambulio hilo limefanyika katika Kanisa la Emanuel African Methodist Episcopal Church, moja ya makanisa kongwe ya Waafrika Wamarekani nchini Marekani.
jamaa anaingiza udini tenaulianza vizuri lakini umeishia kwenye udini
Hata angekuwa Mwislamu, Muhindu au siuji Confucius maadaamu angekuwa mwafrika mweusi angepigwa risasi tu, lakini angekuwa na Mwarabu Mwislamu Mchina na Muhindi Mhindu wasingepigwa risasi, wangewindwa weusi Tu na Mzungu!
Mkuu Barbarosa unapenda vibaya. Unataka kutuaminisha kwamba muarabu ni mtu mzuri sana kwa sababu mzungu kaua waafrika tisa?