Ndo mana wanasema wana akili sana, we fikiri kama waliweza ua teknoloji yetu, sasa hapo huoni kama hawa watu wana akili zaidi yetu. Tungekuwa juu yao basi sisi tungeua yaoSayansi inakua kuendana na muda naamini kwa sayansi tuliyokua nayo na tusingeingiliwa leo hii tungekua mbali kwa namna yetu....
Wazungu waliharibu sayansi yetu.
basi kwa nini tulikubali kuingiliwa? Mbona hatukukomaa? Na mbona sisi hatukuwaingilia wao? Hivi wewe unamjua mwafrika tabia yake ilivyo mbaya? Si Afrika tu bali popote alipo Dunian?Sayansi inakua kuendana na muda naamini kwa sayansi tuliyokua nayo na tusingeingiliwa leo hii tungekua mbali kwa namna yetu....
Wazungu waliharibu sayansi yetu.
wewe unamaanisha asia ipi unaposema ni vichwa maji? maana japan, china, korea pia ni asia, na hawa huwezi kamwe kuwaita vichwa majiMzungu ndiye binadamu halisi
Wa asia vichwa maji
wa afrika tunaongeza idadi tu duniani
Hebu fikiria bila wazungu kingegunduliwa nini ?
mkuu mtu ambaye anaishi kwa kulamu failures zake kwa watu wengine kama huyu, huwa nakua na wasiwasi hata na maendeleo yake binafsi kama ni makubwabasi kwa nini tulikubali kuingiliwa? Mbona hatukukomaa? Na mbona sisi hatukuwaingilia was? Hivi wewe unamjua mwafrika tabia yake ilivyo mbaya? Si Afrika tu bali popote alipo Dunian?
hivi ni visingizio tu,hivi ukiharbu mzinga wa asali basi nyuki hataweza kutengeneza asali tena eti kwa sababu wameingiliwa duniani ni mapambanoSayansi inakua kuendana na muda naamini kwa sayansi tuliyokua nayo na tusingeingiliwa leo hii tungekua mbali kwa namna yetu....
Wazungu waliharibu sayansi yetu.
hivi kuzaliwa mwanadamu burundi, somalia, africa ya kati, au drc halafu ukawa una kipato cha kawaida, na mbwa aliyezaliwa labda uingereza ni nani ambaye atakua anatendewa ubinadamu?Salaam..
Wadau naomba kuuliza hivi mtu mweupe ususani mzungu, ananini cha zaida mpaka sisi ma Negro tunafikia kuleta misemo ya ajabu ajabu.
1. Bora kuzaliwa mbwa ulaya.
2. mzungu hazoei njaa.
3. mzungu ukitoa 'z' unapata Mungu.
4. Ulaya hakuna masikini.
5. Ahadi ya kizungu.
Na wengine inafika kipindi mpaka wanasema mzungu akija Afrika hapimi ukimwi lakini waafrika hupimwa maradhi yote, hili mimi siliafiki.
Aaah wapi hayo maneno tu ili kujifariji ila ukiangalia uhalisia utagundua tu sisi mablack si chochote wala si lolote mvele ya mzungu. Najua utasema sijitambui ila mimi najaribu kuangalia uhalisia wa mambo kama ulivyo. Ukiangalia early contact zote utagundua ni wao walikuwa wanatoka huko kwao wanakuja huku kwetu ila sisi tulikuwa hatuendi kwao. Jamaa walitufanya watumwa, wakatufanyia ukoloni sisi tupo tu tunaangalia. Ukweli ni ukweli tu, mablack si lolote wala si chochote yaani tunaongeza tu idadi ya watu duniani.Kabla ya Hawa makatili (wazungu) kuja afrika, sayansi ya afrika ilikua juu sana gunduzi mbalimbali ziliendelea, fikiria pyramids zilivyojengwa, uhunzi mbalimbali, ugunduzi wa kalenda, Viwanda vya chuma..... Kuna mambo mengi yanafichwa kwenye historia... Kama mnavyomficha joh okello...
OPEN YOUR MIND.
Iliwezekana vipi wao kuiharibu sayansi yetu? Nadhani waliweza kwa kuwa sayansi yetu ilikuwa very primitive ukilinganisha na yao yaani ni kama hatukuwa na sayansi kabisa. Najua wamevuruga historia ila hata kama wasingeivuruga bado sisi ni watu duni sana tena sana mbele ya mzunguSayansi inakua kuendana na muda naamini kwa sayansi tuliyokua nayo na tusingeingiliwa leo hii tungekua mbali kwa namna yetu....
Wazungu waliharibu sayansi yetu.
Tuachane na hayo ya kuaminishwa na tuangalie uhalisia. Waafrika ni hohe hahe, hatuna mbele wala nyuma na sio sisi tu bali tokea zama na zama. Yaani mi nahisi tunafanana tu na binaadamu ila kiuhalisia sisi sio binaadamu. Binadaamu hawezi kuwa sisi japo sisi tunaweza kuwa kama binaadamu.Dunia ndiyo inaaminishwa hivyo kwamba mzungu ndiyo bora zaidi.
Ni sawa na mtoto/watoto wanavyoaminishwa kwamba baba ndiyo kila kitu, hajawahi feli, hakosei, mwenye nguvu kuliko wote...
Mababu zetu walivyoona wazungu kwa mara ya kwanza waliwashangaaje!! Hadi kuuza watu wako wateseke na utumwa.basi kwa nini tulikubali kuingiliwa? Mbona hatukukomaa? Na mbona sisi hatukuwaingilia wao? Hivi wewe unamjua mwafrika tabia yake ilivyo mbaya? Si Afrika tu bali popote alipo Dunian?
Tuachane na hayo ya kuaminishwa na tuangalie uhalisia. Waafrika ni hohe hahe, hatuna mbele wala nyuma na sio sisi tu bali tokea zama na zama. Yaani mi nahisi tunafanana tu na binaadamu ila kiuhalisia sisi sio binaadamu. Binadaamu hawezi kuwa sisi japo sisi tunaweza kuwa kama binaadamu.