MZUMBE UNIVERSITY

yan had unachoka kusubiri m2 mpk leo anaandikiwa selected hawa mzumbe na nit wangewa~promice bas tutatoa cku flan ht roho itulie bhana
 
First round si zimetoka kwenye profile zenu TCU ama?
Kama haupo first round subiri 2nd round.

Kwa waliochaguliwa 1st round chuo 31st October 2016
 
mtu anaOTE="kat.ph, post: 17933454, member: 189627"]First round si zimetoka kwenye profile zenu TCU ama?
Kama haupo first round subiri 2nd round.

Kwa waliochaguliwa 1st round chuo 31st October 2016[/QUOTE]
mtu anajuaje sasa manake profile inaandika tu umepata hawasemi wapi, yale yaliovujaa jumapili ile huenda yasiwe halisi sana manake kuna watu siku niliwachekia hawakuwa wamepata ila selection ya udsm wamo,
 
Ndo hapoooo mpaka leo wanakuandikia selected......wafanye mapema kama m2 anataka kubadilisha abadilishe ...aseee bodi inayumba sana
 
mtu anaOTE="kat.ph, post: 17933454, member: 189627"]First round si zimetoka kwenye profile zenu TCU ama?
Kama haupo first round subiri 2nd round.

Kwa waliochaguliwa 1st round chuo 31st October 2016
mtu anajuaje sasa manake profile inaandika tu umepata hawasemi wapi, yale yaliovujaa jumapili ile huenda yasiwe halisi sana manake kuna watu siku niliwachekia hawakuwa wamepata ila selection ya udsm wamo,[/QUOTE]
acha kujidanganya yale majina yalovuja ndo yaleyale kama uliona upo mzumbe bas hilo ndo jibu yale majna never hayabadlik mkuu
 
Tatizo mda hautaki kuelewa time inaenda tu cku znakata.....
Sasa wakitoa majina utaenda kuripoti chuo bila wao kukupa go on, au? Mzumbe tofauti na vyuo vingine kuna semister wanaiita staggered. Hivyo, kwa sasa kuna wanafunzi wapo chuo na wanaanza pepa jtatu. Na hawa ndio wanaochelewesha mambo

Management ipo busy kidogo. Kuweni wapole nafikiri after two weeks watatoa. Mtasoma hadi mchoke.
 
Uliomba kozi gani....!
Bch of health system management ya mwisho katika priority zangu ila selection results zilivo vuja ile jpili nakaona ndo nliokua selected na mn citaki .......nataka km ikitoka hyo nianze process za kubadilisha...
 
Miongoni mwa vilivyokuwa vyuo bora Mzumbe was among daaah lkn baada ya kudahili excessively sasa hivi kimekuwa chuo cha zaid ya kata sijajua wanafundishwaje kwani kuna semista nzima ya kwenda field halafu ni mwaka mmoja tuu sasa sijui hii imekaaaje?
 
Hapo hapo MU. .ok all the best
 
Miongoni mwa vilivyokuwa vyuo bora Mzumbe was among daaah lkn baada ya kudahili excessively sasa hivi kimekuwa chuo cha zaid ya kata sijajua wanafundishwaje kwani kuna semista nzima ya kwenda field halafu ni mwaka mmoja tuu sasa sijui hii imekaaaje?
Kama hujafika subir ufike ndo ujue ile kata au ndoo
 
sijui E="nyigo Jn., post: 17934309, member: 326860"]mtu anajuaje sasa manake profile inaandika tu umepata hawasemi wapi, yale yaliovujaa jumapili ile huenda yasiwe halisi sana manake kuna watu siku niliwachekia hawakuwa wamepata ila selection ya udsm wamo,[/QUOTE]
acha kujidanganya yale majina yalovuja ndo yaleyale kama uliona upo mzumbe bas hilo ndo jibu yale majna never hayabadlik mkuu[/QUOTE]
sijui kama umeielewa fact yangu au unajidanganya kwamba najidanganya, mwaka jana kuna watu walipata ijumaa jumatatu wakaambiwa 2nd round, mwaka juzi kuna watu walikosa afya wakafanya 2nd round baada ya tcu kuviomba vyuo viongeze admission capacity vikakubali wakapata, ile wamesema wenyewe ni provisional selection we unamwambia mtu kapata na hajaona jina ata kama ni very rare what if ikawa kwake 2
 
Back
Top Bottom