mzee wa mazabe
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 843
- 627
Zamani ilikuwa ikijulikana kama Chuo Cha Maendeleo Mzumbe( IDM) kilikuwa kimejikita sana kwenye Uongozi na baadae kikawa Chuo Kikuu Mzumbe, sikufanikiwa kusoma pale ila mzee wangu alisoma pale, Mhe. Rais kila akitumbua majipu kisha kwenye Teuzi zake lazima watoke Chuo Kikuu cha
Dar es salaam,
Chuo Kikuu cha Dar es salaam kina udhaifu mkubwa sana kwenye Uongozi chunguza tu utaona ni hao hao wanaoteuliwa ndio wanaosumbua na kutumbuliwa, kwanini Mhe.Rais asijaribu na Mzumbe maana watu pale waliandaliwa kwaajili ya uongozi kulikoni wa UDSM wapo kimasrai tu sio ki kazi.
Nimesoma UDSM najua shida zake wanapenda SIASA zaidi ya kazi kama Mhe.Rais anataka ma Professor, na Dr wazuri katika uongozi ajaribu Mzumbe nina amini akiwatumia watu hawa wa Mzumbe lazima watamletea matokeo chanya tu.