MziziMkavu huu ndo uchawi

MziziMkavu huu ndo uchawi

Nimecheka sana katika hiyo link ya kwanza,wazungu walivyopiga yowe
 
Sasa yule mshkaji kahamishiwa mbunye na yule mama kapewa mgegedeo duh
 
Wanajaribu kujifananisha na wale waliokua wana kata watu vichwa na kuvirudishia mahala pake
 
[video]http://vitaminl.tv/video/70[/video]
<b><a href="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=44050" target="_blank">Excellent</a></b>, Kwahiyo mkaka kawa mdada na mdada kawa mkaka????????????????

Na mwisho wake ilikuwaje?????????
 
uchawi ukigomea hapo imekula kwao

Ikitokea mchizi akajichungulia na yule maza nae akajichungulia alaf ndo wakaludishwa kama mwanzo itakua wamezalilishwa kwa kuchunguliana bila kupenda
 
Ikitokea mchizi akajichungulia na yule maza nae akajichungulia alaf ndo wakaludishwa kama mwanzo itakua wamezalilishwa kwa kuchunguliana bila kupenda
hehehehe umenichekesha hata sikuwaza hivo,kila mtu kafahamu nyeti za mwenzake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom