halafu unabisha huamini uuuh!
kama ujanja hebu niambie Jerrymsigwa nini kilifanyika ambayo unaona si kweliExellent hii kitu ni ujanja wa mujini tu mkuu
Nzuri nimeipenda sana hahahahahah[video]http://vitaminl.tv/video/70[/video]
huwa najiuliza ni uchawi au nini,maana utaona watu wengine watafanya utafiti alifanyaje na hawaamini uchawi,kwa mfano video ya Dynamo kutembea juu ya maji bila kuzama...watu wamedadisi kumbe jamaa kulikuwa na kioo ndani ya maji anatembea juu yake,hata ukiangalia huwezi kugunduaNzuri nimeipenda sana hahahahahah
hahaha uwoga tu unakusumbua