Mzize,mwanangu hebu fanya yafuatayo:
1.Chakula:
Usile nyama nyekundu kabisa,kula kuku,samaki,nyama ya mamba na usitumie mafuta ya kupikia yatokanayo na nyama,tumia mafuta yatokanayo na mimea.Tafuta nutritionist akusaidie kupanga chakula
2.Mazoezi binafsi tafuta mtu wa kujenga uimara wa mwili na kocha wa mbinu za ufungaji magoli
3.Jitahidi sana kupumzika sana na usijiingize kwenye mambo ambayo ni hatari kwa afya yako
4.Jitahidi kujifunza kutoka kwa mastrikers wengine wa duniani
5.Tafuta ajenti bora kabisa akusimamie masuala yako