fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 5,750
- 7,460
Kuna nchi ukitoka (Tanzania ikiwemo) hata ucheze kama Beckham husajiliwi EPL hadi upite nchi za kati.Kijana umepambana sana,huna misingi ya soka lakini umepambana sana kama osama wa morocco ambae amelelewa kisoka.Lile goli ulilokosa sio tija maana ni alama ya wazi kuwa hukupata malezi ya kisoka,sasa ongeza bidii kujifunza kila siku.Na wasikilize sana makocha wako sana na pia tafuta makocha wako wa binafsi ili wakupe mazoezi.Kwenye timu ya taifa pale hakuna kocha wa kukufundisha wewe na ndio maana ile mechi ya morocco ulikuwa unakimbuakimbia tu uwanjani.Pambana kijana
Lile goli hata Mzee Mpili angefunga lakn sababu ni football huwezi laumuNikikumbuka lile goli alilokosa Ahoua kule zanzibar nusu fainali shirikisho watu walivyopiga kelele tena yule ni kiungo...sasa kwa striker kama Mzize lazima kelele ziwe nyingi zaidi...
Unatafuta utetezi.Lile goli hata Mzee Mpili angefunga lakn sababu ni football huwezi laumu
ni kweliKuna nchi ukitoka (Tanzania ikiwemo) hata ucheze kama Beckham husajiliwi EPL hadi upite nchi za kati.
sio staggaring pale mabeki waliokulia kwenye soka walimbana ili akose utulivu na apige tu mradi mradi,ndivyo alivyofanya na wala hatumlaumu ni kumwambia azidi kujifunza zaidiWewe pale ungefunga? Mtu alikuwa staggering na akajaribu kupiga on target
wale madagascar hatupishani nao sana,ndio maana aliwazidi akili,hoja ndugu yangu ni siku akikutana na wachezaji wenye ujuzi kama morocco ndipo shida inakuja,sio kwamba tunamlaumu bali ni kumuomba aongeze bidii,atafute trainer wake wa binafsi kumfundisha kufunga,azidi kufanya mazoexi kila siku mpaka awe bora sanaLamine Yamal katoka academy game ya Spain Vs Portugal alionekana kama hajui mpira mbona hayo hukuyaongea alipo funga goli mbili Vs Madagascar?
Mzize 27 yrs😂 vs yamal wa academyLamine Yamal katoka academy game ya Spain Vs Portugal alionekana kama hajui mpira mbona hayo hukuyaongea alipo funga goli mbili Vs Madagascar?
Haifurahishi hii kumkashfu mtunusiyemuumba wewe.Mchezaji ana bichwa kama sanduku la kubebea chatu unafikiri atakuwa na akili ya kujifunza zaidi?
Huna akili Ferdinando Tores aliwahi kukosa goli ambalo haya yeye haamini alikosa vp alikua na umri gani?Mzize 27 yrs😂 vs yamal wa academy
Wa Morocco wao hawakosi magoli?wale madagascar hatupishani nao sana,ndio maana alowazidi akili,hoja ndugu yangu ni siku akikutana na wachezaji wenye ujuzi kama morocco ndipo shida inakuja,sio kwamba tunamlaumu bali ni kumuomba aongeze bidii,atafute trainer wake wa binafsi kumfundisha kufunga,azidi kufanya mazoexi kila siku mpaka awe bora sana
Watoto mlio kulia guest House hua hamuwezi kujifichaMchezaji ana bichwa kama sanduku la kubebea chatu unafikiri atakuwa na akili ya kujifunza zaidi?
Achana na usimba na uyanga.Wa Morocco wao hawakosi magoli?
Unatafuta utetezi.
Hilo alilokosa mzize hata Ngungu boy hakosi...
Sema tumemsamehe kijana kwa sbb hili ni la kitaifa...
wanakosa lakini nafasi moja tu ya muhimu ni lazima waitumie,ndivyo walivyofanya,huyo osama kwenye hayo mashindano,osama kishafunga magoli 4 na ndio huyohuyo aliwafunga simba kwenye fainali zanzibar,anajua sana kufunga,huyo kocha wa morocco ndio kamfundisha osama toka akiwa na miaka 10 hadi leoWa Morocco wao hawakosi magoli?