Mkuu
Mshana Jr utakuwa umetumwa na Manara au unatafuta namba kwenye benchi la ufundi la Simba Koko.
1. Yawezekanaje mwenye
27 aachwe na mwenye
19?
2. Huyu unayemlinganisha na Wasolopaganzi wa Jangwani, unajua ktk historia yake hana rekodi ya kwenda kwa watu, akakinukisha kwenye ardhi ya watu na kurudi na mwali nyumbani? Yeye huyu ni mama wa nyumbani, ugenini hushikwa nyonyo tu. Sasa atamzidi nini janababa aendae kwa watu akapora, akarudi?
3. Sio wewe mkuu ulisema UCHAWI na 'mma' mbali mbali? Hadi ukanukuu msemo wa uchawi hauvuki bahari?
Miaka mi5 watu wamesubirishwa na hawajafa, leo hii hata mwaka haujafika mmetunga zaburi
😀😀😀😀