Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,494
- 12,466
So kwamba hoja yako ya kwamba jangwani ni sehemu isiyokuwa na neema kiroho,unaiprove vipi wakati wapo wanaolitumia jangwa kuwa neema?Huyo huyo halafu Aliens [emoji89] wakamfanyia kitu kibaya
So kwamba hoja yako ya kwamba jangwani ni sehemu isiyokuwa na neema kiroho,unaiprove vipi wakati wapo wanaolitumia jangwa kuwa neema?Huyo huyo halafu Aliens [emoji89] wakamfanyia kitu kibaya
Hebu soma kuanzia panaposema Jangwani sekondari pana historia chafuMbona wewe Mshana Jr kilaaaaaa kitu unahusisha na mambo ya kiroho tu??? mengine ni ya mwili na yatendeke kimwili
watoto wale hawasomi ndio maana wamekula 0, rahisi tu
Vipi mkuu, mbona nasubiri kwa hamu ndoto ya Lema lakini haitimii?.Aaamen kaka asante sana.... Mambo yote yatapita lakini NENO litasimama... Lakini kumbuka pia bado kitambo kidogo.... Na unabii lazima utimie kwanza
Hujaelewa.Simba ipo juu ya Yanga kwa mantiki ipi? Ukongwe? Mafanikio? Nani kamfunga mwenzake mara nyingi? Kwenye vyote hivyo tunajua nani yupo juu ya mwenzake.
Mbona wewe Mshana Jr kilaaaaaa kitu unahusisha na mambo ya kiroho tu??? mengine ni ya mwili na yatendeke kimwili
watoto wale hawasomi ndio maana wamekula 0, rahisi tu
.Jangwani kama shule na Jangwani kama timu vimetumika kama kiambishi tu kwa wakati vyenye kubeba ujumbe wa miaka mingi kuhusiana na hilo eneo
Simba hata ikishuka daraja bado utakuwa juu ya Yanga kwakuwa Simba kama timu ya mtaa wa Msimbazi na Yanga kama timu ya mtaa wa Jangwani..... Mto unaopita eneo la JANGWANI unaitwa mto MSIMBAZI...
Kila mara maji ya mafuriko kupitia mto MSIMBAZI huleta madhara si hapa kwa klabu ya YANGA ambayo iko pale JANGWANI... Umeona mambo yanavyokwenda hapo?
Mbona zamani mikutano ya injili ilifanyika pale, kwenye miaka ya mwanzo ya 90'sWenye imani nusu na robo hawana majaribu kama wenye imani kamili
Sawa mkuuAsante kwa heshima hebu tukatafute details kujiridhisha.... Ikithibitika kinyume na andiko langu NITAOMBA RADHI
Umeiweka vizuri mno umeweka na kuongeza nyama nyingi ambazo sasa hata ambao hawakuwa wamepata muktadha wa mada sasa wataelewaUmeongea ktu Jr mshana, acha na mm niongezee
Ni iv pale jangwan miaka hyo weng hamjakuja mjin pale palikua nusu kuzimu yan watu wanaotoa mimba uchafu unatupwa kule, kafara na uchafu wa muhimbili 90% ulikua unatupwa kule jangwan, mait nyng sana za ujambaz au kutokana na maafa ya mafuriko mjin daslam yalikua yanaokotwa kule
Umalaya yan ufuska wa jijin ile magomen kwa machen(vituo vya awalo vya ukahaba) yote n maeneo ya jangwan
Jangwan sec at that time wanafunz wake asilimia kubwa wamefunjabsana ndoa za watu, wametembezewa sana mpini na bado walikua wanafanya vzur kuna vgogo na mapedeshee wamesimamia sana show maeneo yale
Mantik inakuja iv kutokana na vitendo viovu na uchafu kama huo kwa namna moja au nyngne mizmu ya jangwan ilikua ina cool down
Kwa maana nyngne mizmu inakiu ya uovu na uchafu huu uzungu na kutishiana miaka ming jela wanakosa kutanuliwa ndio yakutokea yanatokea
N swala la muda tu kabla mashehe na wachungaj waitwe wakapaombee lakn sizan kama watafanikiwa, cjui lakn.
Nimeelewa vizuri tu. Kuna wakati wa dewji na Gulamali. Hiyo msimbazi ilikuwa pomoni lakini hakukuwa na shida yoyote pale jangwani. Ndio maana awali nilisema hii ni theory tu YA WAKATI. Kuna wakati hii theory haiwezi ku applyHujaelewa.
Ni kwamba,
Mto MSIMBAZI ukijaa POMONI huleta BALAA hapo JANGWANI, unafurikisha hilo JANGWA.