Mzimu wa Jangwani

Mzimu wa Jangwani

Simba ipo juu ya Yanga kwa mantiki ipi? Ukongwe? Mafanikio? Nani kamfunga mwenzake mara nyingi? Kwenye vyote hivyo tunajua nani yupo juu ya mwenzake.
General overview SIMBA ni kila kitu mbele ya YANGA
 
Wazee wa mjini waliifanyia nn jangwani sec?
Funguka mkuu
Wakati wa kuanzia Mzee Ruksa mpaka JK kulikuwa na madalali wa kukuwadia wanafunzi... Malipo si haba ila walikuwa wanafanyiwa uchafu wa ajabu.... Kariakoo, magomeni kinondoni na ilala kulikuwa na madanguro na gesti bubu za siri zilizokuwa zinafanya hiyo biashara haramu
Kwakuwa humu watu hawatumii ID halisi naamini kuna siku watafunguka.... Ulawiti ndio ilikuwa fasheni kwa kuogopa mimba... Na kuna mapedezee walikuwa wanafanya huo uchafu na mpaka mabinti watatu kitanda kimoja kwa wakati mmoja
 
Mkuu naheshimu sana michango yako humu jukwaani, lakini kwenye hili umepotoka.
Asante kwa heshima hebu tukatafute details kujiridhisha.... Ikithibitika kinyume na andiko langu NITAOMBA RADHI
 
Shetani na mawakala wake huwa wanatutoa katika kuutafakari ukuu na utukufu wa Mungu na badala yake wanatuchepusha kujadili upupu/upuuzi km huu, kitakachofuata ni hofu kisha kuishia kutambikia na kutoa kafakara! Be strong spiritually hutajaribiwa au kutumika hovyo! Kwani wema Mungu huoni? Neema za Mungu huzioni? Mbona huzijadili unaishia kujadili habari za giza? Mungu alivyo mwema hutumia watu, malaika, Roho mtakatifu na wakati mwingine majaribu na mitego ya shetani kujipatia utukufu kwa kuwakomboa watu wake kama wewe rafiki yangu.

Basi wewe ziandike habari unazotaka kusoma au?
 
Zamani palikuwa na ahueni kwasababu ya makafara... Watu wameuliwa sana pale.... Jangwani ndio ilikuwa mabwepande ya WANA... jangwani palikuwa panatisha na kuogopeka.. Matambiko na kafara vilifanyika sana pale.... Si kila maiti iliyookotwa pale ilikuwa ni kutokana na risasi moja kisogoni
Matambiko na makafara yale vilisaidia kwa kiasi kikubwa kupoza mambo.... Siku hizi pana mataa ya kizungu usiku mzima...

Nasubiria ueleze kiundani wa hili.. haswa haswaaaa
 
Wakati wa kuanzia Mzee Ruksa mpaka JK kulikuwa na madalali wa kukuwadia wanafunzi... Malipo si haba ila walikuwa wanafanyiwa uchafu wa ajabu.... Kariakoo, magomeni kinondoni na ilala kulikuwa na madanguro na gesti bubu za siri zilizokuwa zinafanya hiyo biashara haramu
Kwakuwa humu watu hawatumii ID halisi naamini kuna siku watafunguka.... Ulawiti ndio ilikuwa fasheni kwa kuogopa mimba... Na kuna mapedezee walikuwa wanafanya huo uchafu na mpaka mabinti watatu kitanda kimoja kwa wakati mmoja
Asante mkuu umenifungua macho.
 
Mshana uko na shida rafiki yangu..! Tulio kwa Yesu hatusumbuliwi na fikra nyepesi kama hizi ziwe za kweli au za uongo siyo hoja, bali msingi wetu ni tumaini la UZIMA WA MILELE. Maandiko yanasema bado kitambo kidogo unayoyaona jangwani hutayaona, elimu haitakuwa na maana, yanga au simba, Manchester au Madrid haitakuwa story tena ila NENO/JESUS litasimama milele.
Kuwa kwa Yesu hakupingi ukweli wa uharisia wa mambo ya kiroho aliyoyaandika Mshana. Kifupi ni kwamba haya mambo ya dhambi zilizotendeka pale yanaleta laana na matokeo ya laana kwa mujibu wa biblia takatifu itatafuna vizazi vinne. Pia hata eneo lililotendewa hiyo dhambi limeshalaaniwa hivyo mambo siyo mepesi unahitaji kujitenga na hizo laana kwa maombi maalumu. Nikudokeze kidogo na ukafanye kautafiti kadogo utapata majibu mwenyewe kama kuna mtoto wako ukampa jina la ndugu yako baada ya muda yule mtoto atakuwa anaakosi alolivyo yule mwenye lile jina. Sasa swali ni kwa nini? Jambo jengine angalia kama Luna familia mtu alikufa kwa kunywa sumu au alijiua basi lazima kwenye hiyo familia hayo yataendelea kutokea tu. NB familia ni ukoo
 
Nasubiria ueleze kiundani wa hili.. haswa haswaaaa
Viwanja vya jangwani vilikuwa makutano ya wachawi wanga na wafanya makafara... Sio maiti zote zilizokuwa zinaokotwa pale asubuhi kukicha ni za watuhumiwa wa ujambazi.... Wengine ilikuwa ni kutolewa kafara kwa ajili ya kupata uongozi cheo kazini kazi UTAJIRI na hata umaarufu
Eneo linapofanyika hayo mambo huvuta roho chafu na mapepo mabaya na kufanya makazi yao... Mkipaingilia kwa namna yoyote... Mtapata tabu sana
 
Tafsiri ya jangwa iko wazi... Ni mahali pasipomea... Sehemu kame kabisa... Jua kali pamoja na joto kali mchana... Usiku baridi kali na wakati mwingine upepo pia.. Jina la sehemu yenye jangwa huitwa Jangwani
Mfano wa majangwa ni Karahali na Sahara... Lakini je unafahamu kwamba majina huathiri na hulka na hata kuleta uhalisia?
Siandiki sasa kwakuwa timu ya Yanga inafanya vibaya kwenye medani ya soka... Pamoja na ukweli kwamba imekuwa na rekodi na matukio ya hovyo kwa ujumla wake kwa muda mrefu sana.... Kwa majumuisho ya jumla Yanga imeachwa mbali na Simba... Yanga inajulikana kama wazee wa Jangwani [emoji3] [emoji111]
Siandiki haya kwakuwa shule ya upili ya wasichana ya Jangwani imefanya vibaya sana kwenye mitihani kitaifa... Imekuwa shule ya 351 kati ya shule 353? Jangwani sekondari[emoji87] [emoji87] [emoji87]
Ni kipi kilishawahi kufanikiwa eneo hilo la Jangwani? Pale ni eneo oevu na tepetevu... N eneo la kidau na lina majimaji majira yote ya Mwaka... Ilikuwaje paitwe jangwani? Mbona jina haliakisi uhalisia? Kiroho kuna tafsiri pana sana
Pale sio jangwa la kimwili... Pale ni jangwa la kiroho.... Ni mapito na makazi ya wenyewe.... Ni mapito ya maji wakati wa mvua lakini pia pana muunganiko na bahari pale.. Ni kipumzikio cha watu pale.... PAACHWE kama palivyo
Hivi unaweza kuamini kuwa STRABAG walishindwaje kujenga barabara ya juu toka magomeni mpaka fire?
Hivi unawezaje kuamini kuwa kuna wakandarasi na elimu na akili zao walishauri kijengwe kituo cha UDART pale? Matokeo mmeyaona? Wanapakimbia
Mpaka leo hii serikali haiwezi kukwambia ukweli eneo lile la jangwa limekula mabilioni mangapi kila mwaka kujaribu kudhibiti mafuriko ya pale....
Ongea uliza watu walioishi pale maisha yao yalikuwaje baada ya kuhama... Wengi wanakiri walikuwa wamefungwa...

Zamani palikuwa na ahueni kwasababu ya makafara... Watu wameuliwa sana pale.... Jangwani ndio ilikuwa mabwepande ya WANA... jangwani palikuwa panatisha na kuogopeka.. Matambiko na kafara vilifanyika sana pale.... Si kila maiti iliyookotwa pale ilikuwa ni kutokana na risasi moja kisogoni
Matambiko na makafara yale vilisaidia kwa kiasi kikubwa kupoza mambo.... Siku hizi pana mataa ya kizungu usiku mzima...
Jangwani sekondari ina historia yake chafu sana... wazee wa mujini wanafahamika vema wallichoifanyia ile shule... Lakini kila jambo lina asili yake... Ya Yanga tusiyaongelee leo..... I inatosha tu kusema MZIMU WA JANGWANI UMEFUFUKA..,

Good morning Africa! [emoji83]
Leo ushabiki umezidi objectivity tuliozoea kuiona kwa Mshana.
Sisemi zaidi.
Leo hii Yanga bingwa mara 27 kazidiwa na bingwa mara 19. Very objective indeed!
 
Leo ushabiki umezidi objectivity tuliozoea kuiona kwa Mshana.
Sisemi zaidi.
Leo hii Yanga bingwa mara 27 kazidiwa ba bingwa mara 19. Very objective indeed!
Niliahidi kuomba radhi ikithibitika nimepotoka...
 
Tafsiri ya jangwa iko wazi... Ni mahali pasipomea... Sehemu kame kabisa... Jua kali pamoja na joto kali mchana... Usiku baridi kali na wakati mwingine upepo pia.. Jina la sehemu yenye jangwa huitwa Jangwani
Mfano wa majangwa ni Karahali na Sahara... Lakini je unafahamu kwamba majina huathiri na hulka na hata kuleta uhalisia?
Siandiki sasa kwakuwa timu ya Yanga inafanya vibaya kwenye medani ya soka... Pamoja na ukweli kwamba imekuwa na rekodi na matukio ya hovyo kwa ujumla wake kwa muda mrefu sana.... Kwa majumuisho ya jumla Yanga imeachwa mbali na Simba... Yanga inajulikana kama wazee wa Jangwani [emoji3] [emoji111]
Siandiki haya kwakuwa shule ya upili ya wasichana ya Jangwani imefanya vibaya sana kwenye mitihani kitaifa... Imekuwa shule ya 351 kati ya shule 353? Jangwani sekondari[emoji87] [emoji87] [emoji87]
Ni kipi kilishawahi kufanikiwa eneo hilo la Jangwani? Pale ni eneo oevu na tepetevu... N eneo la kidau na lina majimaji majira yote ya Mwaka... Ilikuwaje paitwe jangwani? Mbona jina haliakisi uhalisia? Kiroho kuna tafsiri pana sana
Pale sio jangwa la kimwili... Pale ni jangwa la kiroho.... Ni mapito na makazi ya wenyewe.... Ni mapito ya maji wakati wa mvua lakini pia pana muunganiko na bahari pale.. Ni kipumzikio cha watu pale.... PAACHWE kama palivyo
Hivi unaweza kuamini kuwa STRABAG walishindwaje kujenga barabara ya juu toka magomeni mpaka fire?
Hivi unawezaje kuamini kuwa kuna wakandarasi na elimu na akili zao walishauri kijengwe kituo cha UDART pale? Matokeo mmeyaona? Wanapakimbia
Mpaka leo hii serikali haiwezi kukwambia ukweli eneo lile la jangwa limekula mabilioni mangapi kila mwaka kujaribu kudhibiti mafuriko ya pale....
Ongea uliza watu walioishi pale maisha yao yalikuwaje baada ya kuhama... Wengi wanakiri walikuwa wamefungwa...

Zamani palikuwa na ahueni kwasababu ya makafara... Watu wameuliwa sana pale.... Jangwani ndio ilikuwa mabwepande ya WANA... jangwani palikuwa panatisha na kuogopeka.. Matambiko na kafara vilifanyika sana pale.... Si kila maiti iliyookotwa pale ilikuwa ni kutokana na risasi moja kisogoni
Matambiko na makafara yale vilisaidia kwa kiasi kikubwa kupoza mambo.... Siku hizi pana mataa ya kizungu usiku mzima...
Jangwani sekondari ina historia yake chafu sana... wazee wa mujini wanafahamika vema wallichoifanyia ile shule... Lakini kila jambo lina asili yake... Ya Yanga tusiyaongelee leo..... I inatosha tu kusema MZIMU WA JANGWANI UMEFUFUKA..,

Good morning Africa! [emoji83]
Hivi yule Rais alogeuza jangwa kuwa ardhi yenye neema tele ni wa nchi gani vile? Libya or something else.......
 
Mbona wewe Mshana Jr kilaaaaaa kitu unahusisha na mambo ya kiroho tu??? mengine ni ya mwili na yatendeke kimwili

watoto wale hawasomi ndio maana wamekula 0, rahisi tu
 
Back
Top Bottom