Mzimu wa Jangwani

Mzimu wa Jangwani

Ila jamani jangwani napaogopa,pale palipokuwa stand ya mwendokasi walitaka kunikaba saa 7 mchana adhana inalia,nlipiga kelele balaa wakakimbia kufika mbele wacha waniporomoshee matus
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Shetani na mawakala wake huwa wanatutoa katika kuutafakari ukuu na utukufu wa Mungu na badala yake wanatuchepusha kujadili upupu/upuuzi km huu, kitakachofuata ni hofu kisha kuishia kutambikia na kutoa kafakara! Be strong spiritually hutajaribiwa au kutumika hovyo! Kwani wema Mungu huoni? Neema za Mungu huzioni? Mbona huzijadili unaishia kujadili habari za giza? Mungu alivyo mwema hutumia watu, malaika, Roho mtakatifu na wakati mwingine majaribu na mitego ya shetani kujipatia utukufu kwa kuwakomboa watu wake kama wewe rafiki yangu.
Nilikuwa sijui kumbe wanaojaribiwa ni wenye imani dhaifu tu!vipi kuhusu Ayubu nae hakua na imani strong?
 
Huko vizuri kaka ila vipi kwa sehemu zenye majina ambayo hayana tafsiri yoyote na yana changomoto nyingi sana?
 
Wonderful school motto but.....
school+motto.jpg
 
Mantiki yako inaonekana ni halisi kwa wakati tu, kwa wakati huu, kwakuwa ni kweli mambo hayawaendei vizuri wanajangwani KWA SASA.

Lakini hiyo haimaanishi ulichokieleza kina ukweli. Siku ikitokea Simba wameshuka daraja, na pale msimbazi ikatokea ajali kwa wakati huo huo I bet utakuwa na maelezo mazuri ya kuhusisha jina na haya matukio mabaya
 
Jangwani kama shule na Jangwani kama timu vimetumika kama kiambishi tu kwa wakati vyenye kubeba ujumbe wa miaka mingi kuhusiana na hilo eneo
Simba hata ikishuka daraja bado utakuwa juu ya Yanga kwakuwa Simba kama timu ya mtaa wa Msimbazi na Yanga kama timu ya mtaa wa Jangwani..... Mto unaopita eneo la JANGWANI unaitwa mto MSIMBAZI...
Kila mara maji ya mafuriko kupitia mto MSIMBAZI huleta madhara si hapa kwa klabu ya YANGA ambayo iko pale JANGWANI... Umeona mambo yanavyokwenda hapo?
 
Simba ipo juu ya Yanga kwa mantiki ipi? Ukongwe? Mafanikio? Nani kamfunga mwenzake mara nyingi? Kwenye vyote hivyo tunajua nani yupo juu ya mwenzake.
 
Back
Top Bottom