Watanzania hawataki bunge kurushwa papo ndio maana wapo kimya mmebaki wenyemtindio wa ubongo.Watanzania wanataka bunge live
Watanzania hawataki bunge kurushwa papo ndio maana wapo kimya mmebaki wenyemtindio wa ubongo.Watanzania wanataka bunge live
We ni mamvi kweli [emoji90] [emoji90]Walio mzomea wachukuliwe hatua kali ili iwe fundisho kwa wengine
Mzee amemsamehe kinafiki anamvizia amfanyizie.Hivi nape na mzee makamba wameanza kuelewana?, maana yule mzee ndiyo kiboko yake
Kazomewa akashindwa kutoa hata salamu akabaki amejikunyata kama fisi maji.umeleta habari nusu nusu.yani hata kukopi umeshindwa.
Huu ni uchochezi
Una chuki binafsi
Nasema hivyo kwasababu nilikuwepo jembeka festival.hata hivyo umeshindwa kukopi habari yote ya gazeti na kukoti sehemu tu.
Hata upinzani haupo hivi yani umeleta mada kichonganishi sana.alikuwepo makamba na mabula vipi hawa walishangiliwa?
Kumbuka mchezo huu hautaki hasira watanzania wamewashtukia 2020 siyo mbaliWatanzania hawataki bunge kurushwa papo ndio maana wapo kimya mmebaki wenyemtindio wa ubongo.
Uzuri watanzania wanaakili sanaHata kitwanga alianza hivhiv,hatimaye kashfa zikamwandama mpaka zikamfrustrate,akawa chapombe
Wengi wa wapiga kura tayari wameshamchukulia nape in advance kama mzigo.Wapiga Kura wa Mtama ndio wataamua 2020 kama Nape ni Lumbesa au Mzigo.....!!!!!!!!!!!
Nape kwa sasa muacheni yuko busy na Wema Sepetu App