Tangazo:
Nyemo ameacha kazi global publishers, ameacha na kutoa kazi za shigongo nahisi kuna mtafaruku btn shigongo na yeye nahisi sina uhakika,ametoa hili tangazojuzi kwenye page yake baada ya watukumzogoma kuhusu hii hadithi kusitishwa na had leo hajapost.