MZIKI GANI UNAPENDWA NA WATU WENGI TANZANIA!?

Luck money

Member
Jan 14, 2019
16
0
ni aina ipi ambayo unahisi wasanii tuimbe na inapendwa,itaendelea kupendwa daima kati ya hizi!? GOSPAL au R&B,HIPHOP,ROCK,INSPIRATION,DRUM, LEGAE na freva ya kibongo!? na tuimbe kuhusu nini!?

Luck money forever(64+56)
 
Yap naskiliza sana musicvwa dansi wa tz maarufu km zilipendwa, rhumba kizazi cha kwanza cha kina francoo na badhi hapa katikati, kwaya za south africa za kina ochumana na worship songs and country and soul pmj na rnb tulikuwa tukiita the blues
Hizo ndio collection ambazo hukosi kwenye home theatre yangu

Pia ninazo album za hip hop kadhaa km eminem, big natorious, dmx, fatjoe, 2pac na wengine japo nimekuwa mzembe kudikiliza hiphop sikuhizi
duuuh,umetxha mkuu,ila ngoja kuna jamaa moja naye kasema anayo yake ngoja tusikiee!!

Luck money forever(64+56)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yap naskiliza sana musicvwa dansi wa tz maarufu km zilipendwa, rhumba kizazi cha kwanza cha kina francoo na badhi hapa katikati, kwaya za south africa za kina ochumana na worship songs and country and soul pmj na rnb tulikuwa tukiita the blues
Hizo ndio collection ambazo hukosi kwenye home theatre yangu

Pia ninazo album za hip hop kadhaa km eminem, big natorious, dmx, fatjoe, 2pac na wengine japo nimekuwa mzembe kudikiliza hiphop sikuhizi

Sent using Jamii Forums mobile app
wooow!! much inspiring!!

Luck money forever(64+56)
 
okay,hapo sawa mkuu,lakn hyo daaah, ni mpya sana,lakn usiwaze wambie wasanii wa nyimbo hizi waje kwenye gemu inawasubr make nimekapenda hako kaaina bwana,"mnand"#64+56#

Luck money forever(64+56)
Mnanda ndio mziki mkongwe kabla ya bongo fleva. Na hawa jamaa wa mnanda miaka ya nyuma ndio walienda sana Ulaya kupiga show na walitutambulisha vizuri wa Tanzania kupitia huu mziki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom