Idm mkuuwakuu hivi njia ipi nzuri ya kudownload movies kati ya torrent au IDM
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee baba usipimeeeeeeeeeeeIcheki na hii hapa, kikosi cha makomandoo wanne walienda kuiba hela nchi moja wapo huko Amerika jusini.
Jamaa alikuwa na hela hatari, mchongo ulifanikiwa japo waliacha hela nyingi zaidi wakashindwa kubeba.
Wakapakia kweli helikopta kufika njiani huko milimani helikopta ikazidiwa uzito wa mzigo ikabidi waanze kumwaga hela ili kupunguza uzito.
Lakini hawakufanikiwa ngoma ikadondoka , shughuli ikawa kuzifikisha hizo hela mjini mshikeshike wa hapo kati ni hatari.
Hapo ndio utajua pesa sio lelemama.View attachment 1055203
Ule mzgo tuliokua tukiusubr kitambo sana..hatimae leo upo yts
Pakua hapa mapemaaa
Triple Threat (2019) YIFY - Download Movie TORRENT - YTS
View attachment 1051544
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
https://1337x.to/torrent/3646380/Triple-Frontier-2019-WEBRip-720p-YTS-YIFY/Mkuu tupia na TRIPLE FRONTIER
Pale mwishoni mshikaji alimpa location yule mchizi aliyewapa ule mchongo..Ila sema imeisha kiboya sana, maana walivyorushia zile hela korongoni ikabidi waanze kujiokoa wenyewe sijui ndio kuna part 2.
Behind enermy lines ya 2001
Hii mkuu kuna balaa baada ya US kukatiza kwenye anga la Bosnia,kilicho wakuta US acha tu.
Bourne identity
Bourne supremacy
Bourne ultimatum
Bourne legacy
Jason bourne
Kings man the secret services
Kingsman the golden circle
13 hours
The man from U.N.C.L.E
Olympus has fallen
London has fallen
The november man
3 days to kill
White house down
The point break
American assassin
Anza na hzo mkuu,zote ni movies za intelgencies
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Malza collection zote huyo jamaa hafai mkuuMkuu hizi Bourne collection ninechekigi moja tu ..Jason Bourne, sio poa mzee baba ..hizi nyingi ngja nizipakuee areef..
Sent using Jamii Forums mobile app