Mzigo wa Tripple threat upo hewani sasa

kcamp

JF-Expert Member
Aug 31, 2014
8,514
7,909
Ule mzgo tuliokua tukiusubr kitambo sana..hatimae leo upo yts

Pakua hapa mapemaaa

Triple Threat (2019) YIFY - Download Movie TORRENT - YTS

MV5BYTY1MjRhYmYtZDg4Yy00ZWRiLWIwYzktZThkY2E0YjZlNjgxXkEyXkFqcGdeQXVyMTc3MjY3NTY@._V1_.jpeg

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Siwezi ku create account kwenye hiyo web sijui nn shida.
Unanirusha kwenye home page ya Google
 
Icheki na hii hapa, kikosi cha makomandoo wanne walienda kuiba hela nchi moja wapo huko Amerika jusini.

Jamaa alikuwa na hela hatari, mchongo ulifanikiwa japo waliacha hela nyingi zaidi wakashindwa kubeba.

Wakapakia kweli helikopta kufika njiani huko milimani helikopta ikazidiwa uzito wa mzigo ikabidi waanze kumwaga hela ili kupunguza uzito.

Lakini hawakufanikiwa ngoma ikadondoka , shughuli ikawa kuzifikisha hizo hela mjini mshikeshike wa hapo kati ni hatari.

Hapo ndio utajua pesa sio lelemama.
20190327_132533.jpeg
 
Icheki na hii hapa, kikosi cha makomandoo wanne walienda kuiba hela nchi moja wapo huko Amerika jusini.

Jamaa alikuwa na hela hatari, mchongo ulifanikiwa japo waliacha hela nyingi zaidi wakashindwa kubeba.

Wakapakia kweli helikopta kufika njiani huko milimani helikopta ikazidiwa uzito wa mzigo ikabidi waanze kumwaga hela ili kupunguza uzito.

Lakini hawakufanikiwa ngoma ikadondoka , shughuli ikawa kuzifikisha hizo hela mjini mshikeshike wa hapo kati ni hatari.

Hapo ndio utajua pesa sio lelemama.View attachment 1055203
Nmeicheki tayari...

Ben afleck akafa kiboya...zilee hela noma mkuu..yani kuta zimejaa mkwanja kama wote

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Nmeicheki tayari...

Ben afleck akafa kiboya...zilee hela noma mkuu..yani kuta zimejaa mkwanja kama wote

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Ila sema imeisha kiboya sana, maana walivyorushia zile hela korongoni ikabidi waanze kujiokoa wenyewe sijui ndio kuna part 2.
 
Yaaa lazma wazifate lakin

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom