Mzigo wa Tripple threat upo hewani sasa

Mzigo wa Tripple threat upo hewani sasa

Icheki na hii hapa, kikosi cha makomandoo wanne walienda kuiba hela nchi moja wapo huko Amerika jusini.

Jamaa alikuwa na hela hatari, mchongo ulifanikiwa japo waliacha hela nyingi zaidi wakashindwa kubeba.

Wakapakia kweli helikopta kufika njiani huko milimani helikopta ikazidiwa uzito wa mzigo ikabidi waanze kumwaga hela ili kupunguza uzito.

Lakini hawakufanikiwa ngoma ikadondoka , shughuli ikawa kuzifikisha hizo hela mjini mshikeshike wa hapo kati ni hatari.

Hapo ndio utajua pesa sio lelemama.View attachment 1055203
Hii movies nzuri Sema Netflix wamezingua ilipaswa ichezwe na Actors wadogo kutokana kisa chenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah si walikua wazembe...yan ben aflek kawa boya tu...dah

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
ben si anachezaga kama batman? yaani akadedi kibwege tu na yule dogo wa kijijini kule
 
ben si anachezaga kama batman? yaani akadedi kibwege tu na yule dogo wa kijijini kule
Yaaa yan wamemshusha hadhi mule

Mi nilipakua movie kisa yeye..dah nilichokikuta acha tu.

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Wakuu mimi ni mpenzi sana wa series.. Movies huwa zinanishinda kabisa!!

Nataka nianze kufatilia.. Ebu naomba mnipe movies angalau 10 yenye visa vya kusisimua either robbery au espionage!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu mimi ni mpenzi sana wa series.. Movies huwa zinanishinda kabisa!!

Nataka nianze kufatilia.. Ebu naomba mnipe movies angalau 10 yenye visa vya kusisimua either robbery au espionage!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hunter killer

Deny of thieves

Anza na hzo za mkali Gerard Butler

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Icheki na hii hapa, kikosi cha makomandoo wanne walienda kuiba hela nchi moja wapo huko Amerika jusini.

Jamaa alikuwa na hela hatari, mchongo ulifanikiwa japo waliacha hela nyingi zaidi wakashindwa kubeba.

Wakapakia kweli helikopta kufika njiani huko milimani helikopta ikazidiwa uzito wa mzigo ikabidi waanze kumwaga hela ili kupunguza uzito.

Lakini hawakufanikiwa ngoma ikadondoka , shughuli ikawa kuzifikisha hizo hela mjini mshikeshike wa hapo kati ni hatari.

Hapo ndio utajua pesa sio lelemama.View attachment 1055203
Mkuu naomba link ya hiyo kitu....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hunter killer

Deny of thieves

Anza na hzo za mkali Gerard Butler

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Natamani huu uzi ungekuwa maalumu kwa ajili ya kushare movies kali,nimekuwa mvivu wa kuangalia movie for the past 8 years ila sasa nataka nianze tena.

Mkuu naomba ongezea movies tamu kwa viwango vyako kesho nipakue moja baada ya nyingine,napendelea sana za ujasusi zenye action ndani yake.
 
Behind enermy lines ya 2001

Hii mkuu kuna balaa baada ya US kukatiza kwenye anga la Bosnia,kilicho wakuta US acha tu.

Bourne identity

Bourne supremacy

Bourne ultimatum

Bourne legacy

Jason bourne

Kings man the secret services

Kingsman the golden circle

13 hours

The man from U.N.C.L.E

Olympus has fallen

London has fallen

The november man

3 days to kill

White house down

The point break

American assassin

Anza na hzo mkuu,zote ni movies za intelgencies

Nilizo higjlight na red nilishazitazama,ngoja nianze na hizo nyingine.Shukran mkuu..
 
Back
Top Bottom