Mzigo wa Tripple threat upo hewani sasa

Icheki na hii hapa, kikosi cha makomandoo wanne walienda kuiba hela nchi moja wapo huko Amerika jusini.

Jamaa alikuwa na hela hatari, mchongo ulifanikiwa japo waliacha hela nyingi zaidi wakashindwa kubeba.

Wakapakia kweli helikopta kufika njiani huko milimani helikopta ikazidiwa uzito wa mzigo ikabidi waanze kumwaga hela ili kupunguza uzito.

Lakini hawakufanikiwa ngoma ikadondoka , shughuli ikawa kuzifikisha hizo hela mjini mshikeshike wa hapo kati ni hatari.

Hapo ndio utajua pesa sio lelemama.View attachment 1055203
Mzee baba usipimeeeeeeeeeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hizi Bourne collection ninechekigi moja tu ..Jason Bourne, sio poa mzee baba ..hizi nyingi ngja nizipakuee areef..
Behind enermy lines ya 2001

Hii mkuu kuna balaa baada ya US kukatiza kwenye anga la Bosnia,kilicho wakuta US acha tu.

Bourne identity

Bourne supremacy

Bourne ultimatum

Bourne legacy

Jason bourne

Kings man the secret services

Kingsman the golden circle

13 hours

The man from U.N.C.L.E

Olympus has fallen

London has fallen

The november man

3 days to kill

White house down

The point break

American assassin

Anza na hzo mkuu,zote ni movies za intelgencies



Sent from my SM-G920P using Tapatalk

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom