Mzigo toka china.

Mzigo toka china.

Speaker

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2010
Posts
6,324
Reaction score
2,244
254695_504918492864234_1679289338_n.jpg


Wahini kutoa oda mzigo ndio umeingia jana, na si mkubwa sana, bei maelewano
 
Mbona ilishatumwaga hapa jf?????
Huo ni uongo mtupu hakuna dawa yakurudisha.
 
Duh!watu wamepinda wanachakachua hadi bikira!
 
maji ya limao au ndimu kitu inarudi mahala pake mchina kansa aku!
 
aaaaah!!! Speaker mi nikajua ile mizigo yetu ya hongera,meeda au sewa bwana!!
 
Last edited by a moderator:
Mh! Mchina ni balaaa ,sas uku ni kupeana magonjwa yasiyokuwa na jina
 
Back
Top Bottom