Mzigo toka china.

Mzigo toka china.

Mbona ilishatumwaga hapa jf?????
Huo ni uongo mtupu hakuna dawa yakurudisha.

Ipo tena ya kienyeji sana.
Waitumia kila siku,
Sema hujaijua namna bora ya matumizi kwa ajili ya kurudisha ubikira.
Subiri ntakusimulia.


Bazazi
 
Mh! sasa tunatafutiana mambo ya kutepeta, kiasi hata ukikaa mguu sawa K yenyewe inabaki imecheka, Akuuuuuuuu! mm thitaki baba kanikatadha mambo ya wakubwa hayo, mm nitabaki na hii hii ya kawaida.
 
Bikira ina maana moja tu nayo ni kuwa na utepe amabo Mungu alimumbia mwanamke na kama uume ukisha ingia basi kamwe hwezi tena kuitwa bikira hata kama utashonwa uke na uzi wa sindano za viatu
 
Makubwa nna watoto watatu bado natafuta bikra tenaa! mie naona ukizidi kuitabisha ndio unaichosha zaidi,chamsingi nikuitunza tuu....
 
Hazipwayagi mwaya, ndo maana kichwa cha mtoto kinapita na inajurudi, hivi kuna inayozidigi kichwa cha mtoto.
Kichwa kina mchongoko wa kipekee kupenya aina zote na ku'sense' upana wowote(thank God)...ukiona huenjoy kwenye aina fulani ya 'ke' basi rudisha kichwa kwa fundi kwani sensors zake haziko sawa.
 
Ukimkuta mwanamke ana over 25 kisha anaangahika na upuuzi huo,jua anamatatizo ya kiakili.
Atamdanganya nani?
 
Back
Top Bottom