Mzee Yusuph amkataa mtoto aliyedai ni mwanae wa nje ya ndoa

Huyu mtoto pia anafanana Sana na Dula mbabe bondia..
Mtu awke picha ya Dulla mbabe hapa
 
Yuko sahihi mtoto Wa nje ni wama baba aanafanya hisani tu kuhudumia na Wala harithi kabisa
Halafu Mzee sio tajiri jamani kwa Sasa ana Hali ya kawaida kiuchumi

Why wanawake wote huko Instagram wanasema Mzee Yusuph hana hela ?
Kwani mtu si anaweza kuwa na hela asioneshe?naona wanamshambulia hatari...utasema..wanalala na kuamka nae kila siku .
 
aidha Yusuph ameongeza kuwa kama akikuta mtoto huyo ni damu yake atamfikilia kama aendelee kumlea au aachane naye kwani dini yake inasema mtoto wa nje ya ndoa siyo mtoto wake ni wa mwanamke.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakunaga kitu kama hicho kwenye uislamu kwanza hakunaga kitu kinaitwa mtoto wa nje ya ndoa kwenye uislamu .

Huyo ni mtoto wa kitandani na atabaki kuwa damu yake na atakuwa na haki zote kama watoto wake wengine aache kutumia dini kama mwamvuli wa kuficha maovu yake na kuongea uongo hadharani .
 
Ila wanafanana balaa

Screenshot_2023-06-18-11-32-53-058_com.android.chrome.jpg
 
Hv mkuu mwanamke huyo ni mtoto unae mtomba labda angekuw mtoto Sawa

Nikutana na binti WA miaka 25 juu Kwa juu amenipa mechi Mimi nikaamua kuloweka na loweka na ninamwaga ndani kama ajasema lolote najua amejipanga

Itategemea mwanamke anasema nn akisema atapat mimba siku hiyo na vaa pilia au vinginevyo


Ni muda wao kujitambua wanaume sisi mambo mengi

Uombe utamu
Ulipe lodge
Ulipe zake /chakula vingne
Umpe nauli asubuh

***** yeye akil yake ikae usiwaze ata moja
Makubaliano yapi? Yaani wewe, umekutana na mwanamke, umepiga kazi, umemwagia ndani kwa hiari yako...tena hukuuliza hata kama yuko kwenye tarehe mbaya au la..sasa unataka makubaliano gani zaidi ya hayo.
ILA kama mwanamke na husiana na kwakipnd kirefu nitamwambia sitak kuzaa kwa sasa ilitokea emergency tutao fully stop .
 
Wapuuzi sana hawa wanawake. Yaani hawanaga ufikirio kabisa. Ah mie naona mwanamke anayebeba mimba bila ndoa tuchinje tuu
Mkuu ni sahihi kama hakuna maelewano ya kuzaa iwe hivyo , kila jambo ambalo litaonekan kwa mwanamke kama ni baya sisi wanaume tunabebeshwa mzgo utazan hawa wanawake wao hawan ubungo/akili angalia ata mazingra ya story yaan umekutana na mwanamke kwenye mzk bar au safr amekupa mechi alafu kashindw kujua kuw atapata mimba akailea mimba lawama kwetu

Uombe mzgo
Ulipe lodge
Ulipe bill za vyakul na mengin ya cku hyo
Umpe nauli

Currently kwa uchumi WA SASA utatumia 70,000 had 100,000 kwa masaa chin ya 17 . Alafu ashindwe kukwambia tumia mpira atapata mimba au njia nyingne ,


Sambamba wanaume ni KAZI kbsa mkuu /kuna wimbo unaitwa To be a man ukiusilza ule wimbo unawez muacha mkeo .
 
Mkuu ni sahihi kama hakuna maelewano ya kuzaa iwe hivyo , kila jambo ambalo litaonekan kwa mwanamke kama ni baya sisi wanaume tunabebeshwa mzgo utazan hawa wanawake wao hawan ubungo/akili angalia ata mazingra ya story yaan umekutana na mwanamke kwenye mzk bar au safr amekupa mechi alafu kashindw kujua kuw atapata mimba akailea mimba lawama kwetu

Uombe mzgo
Ulipe lodge
Ulipe bill za vyakul na mengin ya cku hyo
Umpe nauli

Currently kwa uchumi WA SASA utatumia 70,000 had 100,000 kwa masaa chin ya 17 . Alafu ashindwe kukwambia tumia mpira atapata mimba au njia nyingne ,


Sambamba wanaume ni KAZI kbsa mkuu /kuna wimbo unaitwa To be a man ukiusilza ule wimbo unawez muacha mkeo .
Point tupu
 
mzabzab

"Yeah, I know this life can really beat you down, uh
You wanna scream but you won't make a sound, uh
Got so much weight that you've been holdin'
But won't show any emotion, as a man, that goes unspoken
That we can't cry when life gets hard
Unconditional love for women, children and dogs
We know that we just have to play our parts
And don't nobody give a damn about our broken hearts, yeah
As a man, we gotta pave our way
Our only function is to work and slave
There's no respect for you if you ain't paid
You're disregarded as a human and you can't complain
And if you ever make it up and actually reach that place
And find a woman that you love and give her your last name
You'll feel the things that you provide is only why she stays
And when you try to explain, you'll say"

Dax
To be a man

Bonge la ujumbe liko apo

"You will feel the things that you provide is only why she stay"
 
Back
Top Bottom