MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,011
- 16,748
Wassira awataka Vijana Kuhoji Mambo ( Masuala ) kwani Kunyamaza ni Unafiki.
Taarifa: Gazeti la Nipashe la Leo hii.
Sasa kama Mzee Steven Wassira ( Kada Mkongwe ) na Mtu aliyehudumu Serikalini miaka mingi, ametumika sana Kuandika ILANI ya Chama cha CCM na anajua vyema Siasa anataka 'Wakosoaji Werevu' akina KEROZENE na wengineo kamwe tusinyamaze Wewe ( Nyie ) ni nani mpaka mtuzuie na mtutishe hadi Kututanguliza mapema Makaburini tukalale Usingizi wa Milele?
Ngoja sasa KEROZENE nijiandae kuangalia Hafla ya UWT ( kupitia TBC1 na ZBC ) huko Zanzibar wakiwa Wanampamba na Kumpongeza Mama wa Taifa kwa Kutuongoza kama Mwanamke, Kusafiri nje ya nchi kwa muda mfupi, Kukopa sana WB na IMF na Kuturejeshea Watanzania Furaha tuliyoisahau kwa muda mrefu ya Mgawo wa Maji na Umeme Tanzania.