kibe
1. Warioba ni raia wa tanzania
2. Ameishawahi kuwa waziri mkuu n.k, so ni mmoja wa fathers of this nation,(kubali kataa)
3. Hoja za warioba zina mashiko na lazima uwe punguani kubishana naye japo kiduchu
4. Warioba kama mzalendo wa kweli hatakaa kimya, hata akifa ataendelea kusema tu, kama ilivyo kwa nyerere
the best way ku dal na warioba ni kufumba macho na kuamua mambo yenu huko, pasi kumhusisha; ukija kma hivi ulivyokuja utaona kabisa unavyoona aibu
kizazi cha sasa cha ccm ni kizazi kijinga kabisa kupata kutokea katika historia ya nchi hii.
Kibe
1. warioba ni raia wa Tanzania
2. ameishawahi kuwa waziri mkuu n.k, so ni mmoja wa fathers of this Nation,(kubali kataa)
3. Hoja za warioba zina mashiko na lazima uwe punguani kubishana naye japo kiduchu
4. Warioba kama mzalendo wa kweli hatakaa kimya, hata akifa ataendelea kusema tu, kama ilivyo kwa Nyerere
The best way ku dal na warioba ni kufumba macho na kuamua mambo yenu huko, pasi kumhusisha; ukija kma hivi ulivyokuja utaona kabisa unavyoona aibu
Kizazi cha sasa cha CCM ni kizazi kijinga kabisa kupata kutokea katika historia ya nchi hii.
Kwanza nitoe pongezi kwa mh.john komba kwa kusema kwa uwazi bila soni kuhusu huyu babu warioba, warioba alipewa heshima kubwa kuwa mwkt wa tume.na muda wote wa kazi yake alikuwa anasisitiza aachwe huru afanye kazi asiingiliwe. Namuliza huyu mzee ana lengo gani kazi yake imeisha ipo kwa ngazi nyingine ye kamaliza na aliachwa huru.nini kinamwasha huyu mzee kutwa yuko mikutano hadi anadiriki kusema atapambana mtaani na wajumbe wa bmk . Mzee wewe unamalengo gani hasa au sbb uliyoyapika wameyatoa. Mzee tulia upumzike zama zako zimepita,acha tuvurugia nchi yetu
Aende zake huko huyo warioba, atakuwa katumwa na cia kusambaratisha muungano.
Kibe
1. warioba ni raia wa Tanzania
2. ameishawahi kuwa waziri mkuu n.k, so ni mmoja wa fathers of this Nation,(kubali kataa)
3. Hoja za warioba zina mashiko na lazima uwe punguani kubishana naye japo kiduchu
4. Warioba kama mzalendo wa kweli hatakaa kimya, hata akifa ataendelea kusema tu, kama ilivyo kwa Nyerere
The best way ku deal na warioba ni kufumba macho na kuamua mambo yenu huko, pasi kumhusisha; ukija kama hivi ulivyokuja utaona kabisa unavyoona aibu
Kizazi cha sasa cha CCM ni kizazi kijinga kabisa kupata kutokea katika historia ya nchi hii.
Nina mashaka na uraia wa komba! Kama warioba aliomba kazi yake isiingiliwe si angeifuata kama ilivyo hii inaonesha ameiingilia so alichoongea komba ni ungese mnoKwanza nitoe pongezi kwa mh.john komba kwa kusema kwa uwazi bila soni kuhusu huyu babu warioba, warioba alipewa heshima kubwa kuwa mwkt wa tume.na muda wote wa kazi yake alikuwa anasisitiza aachwe huru afanye kazi asiingiliwe. Namuliza huyu mzee ana lengo gani kazi yake imeisha ipo kwa ngazi nyingine ye kamaliza na aliachwa huru.nini kinamwasha huyu mzee kutwa yuko mikutano hadi anadiriki kusema atapambana mtaani na wajumbe wa bmk . Mzee wewe unamalengo gani hasa au sbb uliyoyapika wameyatoa. Mzee tulia upumzike zama zako zimepita,acha tuvurugia nchi yetu
Kwani mama yako kinamuwasha nini?Kwanza nitoe pongezi kwa mh.john komba kwa kusema kwa uwazi bila soni kuhusu huyu babu warioba, warioba alipewa heshima kubwa kuwa mwkt wa tume.na muda wote wa kazi yake alikuwa anasisitiza aachwe huru afanye kazi asiingiliwe. Namuliza huyu mzee ana lengo gani kazi yake imeisha ipo kwa ngazi nyingine ye kamaliza na aliachwa huru.nini kinamwasha huyu mzee kutwa yuko mikutano hadi anadiriki kusema atapambana mtaani na wajumbe wa bmk . Mzee wewe unamalengo gani hasa au sbb uliyoyapika wameyatoa. Mzee tulia upumzike zama zako zimepita,acha tuvurugia nchi yetu
CIA ina nini cha kuingilia TZ? Komba ni yule mnyama kama kicheche au mzee wa kushindwa kulipa mikopo ya benki?