Pole sana Mzee Warioba Mungu hatakujalia utapona.
wakati wenzio wanakwenda shule wewe unakwepa umande ...!!! matunda yake ni hekalu la ujinga
Pole sana Mzee Warioba Mungu hatakujalia utapona.
Hajatueleza juu ya zile bilioni za Mwananchi Gold.Mungu amuongezee nguvu mzee wetu awe imara.Ni kati ya wazee wachache tuliowabakiza wenye hekima na busara
Fegi zitamuua huyu mdingi mapafu yameziba
Plz n00b. That is alarming. Habari kubwa sana huanza na tetesi. Unatufanya tununue uwezo wa ziada wa kukuvumilia mpaka utakapoamua kuzisema hizo tetesi zako za sababu ya kuanguka ghafla kwa Mwenyekiti wa Tume ya Kukusanya Maoni ya Katiba Mpya, Makamu wa Kwanza Mstaafu, Waziri Mkuu Mstaafu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mstaafu na Jaji wa Mahakama Kuu Mstaafu.
Tunasubiri kwa hamu sana tambu hilo na ukumbuke kuwa ni deni hapa.
Watu wanasahau Baba Ritz1 ameanguka marafiki ngapi jukwaani na bado (japo me ckumpa kura) ni rais, nakubali ni mzee tayari but busara yake may b we need so ni kawaida Hata kijana njaa tu inaweza kupeleka down Mbona masoldier wanaanguka marafiki kibaaaao tena event mhimMzee Warioba alipotangazwa kuwa mwenyekiti wa hii tume ya katibu watu walimpa hongera na hakuna aliyeuliza umri wala afya yake. Leo tunaambiwa kaanguka mara ghafla tunamuona mzee! tunataka apumzike! nabaki kucheka tu.
Mzee Warioba imeripotiwa kuwa ameanguka huko Serena Hotel lakini yasemwa ni 'dizzy spell' lakini aliweza kuinuka mwenyewe na kupelekwa hospitali. Hali yake inadaiwa ni mzima na wananchi wasiwe na hofu yoyote.
Vyanzo vya kuaminika toka eneo la Serena Hotel vimethibitisha tukio hilo na kutuhakikishia kuwa mzee Warioba anaendelea vizuri na tukio zima linahusishwa na uchovu.
Wakati tunamwombea apone
kwa haraka najiuliza kama anaanza kuanguka sasa hivi kwa uchovu
itakuwaje safari ya kuzunguka nchi zima yenye takriban kilometa za mraba
milioni moja??Madaktari wamchunguze kama hayupo fit basi atafutwe
mwanazuoni mwingine ashike nafasi yake asijepata madhara makubwa zaidi
safari zikianza!!