Mzee Warioba aanguka ghafla Serena Hotel; yadaiwa ni uchovu; ni mzima

haha,hii ni place yake ya kazi.
Lakini mbona na wewe kila saa unamuona,unafanya kazi saa ngapi?
NOP! mimi muda wangu wa kupita kwenye jf ni jioni tu, but huyu mwezangu RITZ kwenye kila threa ihusuyo siasa au mwanasiasa lazma kuwe na komenti yake.
 
Hivi ana umri gani lakini huyu Warioba?
Mambo ya kuhangaika night zote ni ya nini?
Tangu enzi ya Marehemu Mwl J. K. Nyerere alikuwa madarakani mpk sasa na hata hakuna aliloweza badilisha ktk wasifu wake wa kuwepo madarakani kipindi chote hicho. Na mpk leo anang'ang'ana na uongozi ya nini?

Si aachane na mambo ya madaraka na vijana sasa na sisi tulisukume gurudumu.

Mi binafsi Warioba na hana msaada ktk Taifa letu.
Kuna kitu natamani niseme lakini naogopa (BANNED)
Kama ni wasifu Warioba amefanya mengi ya kujivunia. Kwa kuanzia tu huwezi kuzungumzia "law of the sea" bila kuambatanisha jina la Warioba pale. Leo matunda yake tunayaona.
 
- This one I am with you, Mh. Warioba amelifanyia mengi sana hili taifa na hakuwa mdokozi au fisadi, anaijua Sheria kuanzia ya nchi kavu mpaka ya bahari na Dunia inamtambua, huwa hatafuni maneno, lakini pia sio Malaika!

- Kuanguka kwake ni kawaida katika maisha, cha muhimu ni kwamba ni mzima 100% na kwa sasa amepumzika nyumbani kwake, CDM wasingekubali katiba kuongozwa na yeye kama wanafikiri kwamba hafai, ishu ya ujana na uzee kwenye hili taifa imetufisha pahali kwamba haijadiliki tena kutokana na jinsi Vijana walivyotuangusha!

- Dhana ya uzee bila hoja za msingi ni kupoteza muda wa bure, I mean understandable Vijana wachache kama Zitto, Nape, Januari, ambao wameonyesha kwamba wanaweza kusimama na hoja nzito kwa taifa, lakini hawatoshi na sasa tunaishia kushikana mashati na wazee ni kwa sababu wengi wetu Vijana tumekubali kuwa bendera za wazee bila kujua kwamba for that tumegeuka kuwalinda kwenye nafasi tunazotakiwa kuzishika, wanatudanganya na peremende kidogo, tunaanza kugombana wenyewe kwa wenyewe wao wanashika nafasi!

- I mean juzi nimeingia EAC race nimekutana na mtu ambaye mimi nikiwa Chekechea, yeye alikuwa anakimbiza mwenge, here he was running for EAC with me, sasa what do you expect is it a system hapana ni sisi wenyewe Vijana ndio tumeruhusu haya kwa sababu ya tamaa za kijinga, sasa unaanza kumtukana huyu Mzee ambaye hana shida kwa sababu he has enough pension na wala sio mwizi, badala ya kulilia mawaziri vijana wapelekwe kwenye sheria, unaanza kutukana wazee as if it will help anything, Vijana wengi wametuangusha sasa let wazee waendelee kututawala mpaka tutakapojifunza, kwamba we are the majority na wao ni minority!

- Pale New York City, pana mfano mmoja huwa unanimaliza sana, ni ule wa Spanish people, wao ni majority sasa hivi meaning kwamba wanatakiwa kutoa Mayor wa the City, lakini kwa sababu hawajijui matokeo yake Mjew Bloomberg anaendelea kuwachezea vichwa na kushika the City, mpaka siku moja watakapoamka.

- Na sisi Tanzania kama hatushituki tutaishia kule kule kwa hao Spanish, wazee wataendelea kutuchezea akili mpaka tutakapoamua kwamba sasa basi tuungane bila kujali itikadi na kuweka taifa mbele!

William.
 
Binafsi namkubai mzee Warioba. Lkn ifike mahali wazee hawa wapunguziwe majukumu. Mzee Warioba angebaki kuwa Mshauri wa Tume na nafasi ya uenyekiti akapewa mtu kama Prof. Shivji, prof. Palamagamba Kabudi na wengineo ambao bado wana nguvu, but preferably young blood.
 
Ndo mwisho wako wa kufikiri?.Mbona wataalam weng tu wa sheria wapo?Mfano Mhe.Tundu lisu jembe la watz!!?
Nafikiri kwa hili shida sio utaalamu tu, bali ni pamoja na imani waliyonayo wananchi juu ya mteuliwa kuhusu kuwa balanced kwenye personal interest ya political issuues kkwanza,halafu ndio utaalamu na binafsi namkubali mzee warioba maana ni mtu wa international laws na cv yake ni kubwa kuliko ya shivji
Halafu kwenye hili la katiba indigenious ni prioritied zaidi hivyo shivji alifaa sana kuweemo humu lakini sio kama mwenyekiti bali kama mjumbe.maana ingawa ni mtanzania lakini si mzawa.na hata dini yake ya hindu sio kila mtz anaweza kwenda na ukabatizwa ni lazima uwee mhindi tangu kuzaliwa(Baniani)
 
Mzee Warioba alipotangazwa kuwa mwenyekiti wa hii tume ya katibu watu walimpa hongera na hakuna aliyeuliza umri wala afya yake. Leo tunaambiwa kaanguka mara ghafla tunamuona mzee! tunataka apumzike! nabaki kucheka tu.
 
Get well soon mkwe wangu..ni uchovu na upepo tu huo utapita..!! Old childhood friend mpe pole baba..hahahaa
 
- This one I am with you, Mh. Warioba amelifanyia mengi sana hili taifa na hakuwa mdokozi au fisadi, anaijua Sheria kuanzia ya nchi kavu mpaka ya bahari na Dunia inamtambua, huwa hatafuni maneno, lakini pia sio Malaika!

- Kuanguka kwake ni kawaida katika maisha, cha muhimu ni kwamba ni mzima 100% na kwa sasa amepumzika nyumbani kwake, CDM wasingekubali katiba kuongozwa na yeye kama wanafikiri kwamba hafai, ishu ya ujana na uzee kwenye hili taifa imetufisha pahali kwamba haijadiliki tena kutokana na jinsi Vijana walivyotuangusha!

- Dhana ya uzee bila hoja za msingi ni kupoteza muda wa bure, I mean understandable Vijana wachache kama Zitto, Nape, Januari, ambao wameonyesha kwamba wanaweza kusimama na hoja nzito kwa taifa, lakini hawatoshi na sasa tunaishia kushikana mashati na wazee ni kwa sababu wengi wetu Vijana tumekubali kuwa bendera za wazee bila kujua kwamba for that tumegeuka kuwalinda kwenye nafasi tunazotakiwa kuzishika, wanatudanganya na peremende kidogo, tunaanza kugombana wenyewe kwa wenyewe wao wanashika nafasi!

- I mean juzi nimeingia EAC race nimekutana na mtu ambaye mimi nikiwa Chekechea, yeye alikuwa anakimbiza mwenge, here he was running for EAC with me, sasa what do you expect is it a system hapana ni sisi wenyewe Vijana ndio tumeruhusu haya kwa sababu ya tamaa za kijinga, sasa unaanza kumtukana huyu Mzee ambaye hana shida kwa sababu he has enough pension na wala sio mwizi, badala ya kulilia mawaziri vijana wapelekwe kwenye sheria, unaanza kutukana wazee as if it will help anything, Vijana wengi wametuangusha sasa let wazee waendelee kututawala mpaka tutakapojifunza, kwamba we are the majority na wao ni minority!

- Pale New York City, pana mfano mmoja huwa unanimaliza sana, ni ule wa Spanish people, wao ni majority sasa hivi meaning kwamba wanatakiwa kutoa Mayor wa the City, lakini kwa sababu hawajijui matokeo yake Mjew Bloomberg anaendelea kuwachezea vichwa na kushika the City, mpaka siku moja watakapoamka.

- Na sisi Tanzania kama hatushituki tutaishia kule kule kwa hao Spanish, wazee wataendelea kutuchezea akili mpaka tutakapoamua kwamba sasa basi tuungane bila kujali itikadi na kuweka taifa mbele!

William.

Mmmh mambo yako haya ya kusema sema kule marekani sijui ulaya si ndo yamekukosesha ubunge wewe!!umeanza tena kula nyu yoki mara spanish guitar sijui nini!!
 
Mzee Warioba alipotangazwa kuwa mwenyekiti wa hii tume ya katibu watu walimpa hongera na hakuna aliyeuliza umri wala afya yake. Leo tunaambiwa kaanguka mara ghafla tunamuona mzee! tunataka apumzike! nabaki kucheka tu.

Mkuu wangu kazi kama ile anatakiwa mtu sio tu awe na ujuzi bali busara kaka,

Ukiwapa hawa DOTCOM ile kazi pasingekalika
 
Mmmh mambo yako haya ya kusema sema kule marekani sijui ulaya si ndo yamekukosesha ubunge wewe!!umeanza tena kula nyu yoki mara spanish guitar sijui nini!!

- Reading between your lines ni kwamba ujumbe umefika, that is all I could ask from a Great Thinker! ha!ha!ha!, cause nimeandika hoja unajibu na taarabu! ha! ha1

William.
 
Binafsi sioni kitu cha ajabu kuanguka Warioba. Kwani umri wake ni mkubwa, anatakiwa kufanya kazi kwa kiwango chake, vinginevyo ni hatari kwa afya yake. Wengi wanaweza kuwa na tafsiri nyingi, hayo ndio ubinadamu wetu ulivyo. Lakini tuelewe kazi aliyopewa ni kubwa na wana vikao vingi ambavyo vinamchukulia sana muda wake. Anatakiwa awe na ratiba kamili ya kazi na mapumziko, maana huu ni mwanzo tu.
 
Mkuu kama ulivyosema huyu ni MZEE. Mimi nilishangaa kuwa bado wanampa majukumu makubwa kama ya uenyekiti wa tume ya Katiba. Age is catching up. Ilikuwa wakati wake kupumzika na kula pension yake. Hakutakiwa kuingia tena katika masuala yazito kama Katiba. Anyway namuombea apone haraka alafu amwambie Rais "I am not fit for this job"

Watu wengine! Labda angewekwa celina kombani. Wewe acha warioba atufie Kama ikibidi, najua hakuna anachokiogopa. Kama anavuta fegi asiache ghafla tusije mpoteza mapema.
 
Inavyoonekana akizidiwa uwenyekiti atapewa Kingunge yani lengo asiwe na wasiwasi kwani umriwao wa kuishi kwa mtantanzania umei..., sa hivi wanakopa tu. Huyu mzee ana karibu miaka 90 mi sijui ata kama ajazeeka hadi ubongo na katiba mpya wapi na wapi. Katiba mpya mwenyekiti kikongwe. Namuheshimu warioba sana. Sasa kazeeeekaaaa astafu.
 
- This one I am with you, Mh. Warioba amelifanyia mengi sana hili taifa na hakuwa mdokozi au fisadi, anaijua Sheria kuanzia ya nchi kavu mpaka ya bahari na Dunia inamtambua, huwa hatafuni maneno, lakini pia sio Malaika!

- Kuanguka kwake ni kawaida katika maisha, cha muhimu ni kwamba ni mzima 100% na kwa sasa amepumzika nyumbani kwake, CDM wasingekubali katiba kuongozwa na yeye kama wanafikiri kwamba hafai, ishu ya ujana na uzee kwenye hili taifa imetufisha pahali kwamba haijadiliki tena kutokana na jinsi Vijana walivyotuangusha!

- Dhana ya uzee bila hoja za msingi ni kupoteza muda wa bure, I mean understandable Vijana wachache kama Zitto, Nape, Januari, ambao wameonyesha kwamba wanaweza kusimama na hoja nzito kwa taifa, lakini hawatoshi na sasa tunaishia kushikana mashati na wazee ni kwa sababu wengi wetu Vijana tumekubali kuwa bendera za wazee bila kujua kwamba for that tumegeuka kuwalinda kwenye nafasi tunazotakiwa kuzishika, wanatudanganya na peremende kidogo, tunaanza kugombana wenyewe kwa wenyewe wao wanashika nafasi!

- I mean juzi nimeingia EAC race nimekutana na mtu ambaye mimi nikiwa Chekechea, yeye alikuwa anakimbiza mwenge, here he was running for EAC with me, sasa what do you expect is it a system hapana ni sisi wenyewe Vijana ndio tumeruhusu haya kwa sababu ya tamaa za kijinga, sasa unaanza kumtukana huyu Mzee ambaye hana shida kwa sababu he has enough pension na wala sio mwizi, badala ya kulilia mawaziri vijana wapelekwe kwenye sheria, unaanza kutukana wazee as if it will help anything, Vijana wengi wametuangusha sasa let wazee waendelee kututawala mpaka tutakapojifunza, kwamba we are the majority na wao ni minority!

- Pale New York City, pana mfano mmoja huwa unanimaliza sana, ni ule wa Spanish people, wao ni majority sasa hivi meaning kwamba wanatakiwa kutoa Mayor wa the City, lakini kwa sababu hawajijui matokeo yake Mjew Bloomberg anaendelea kuwachezea vichwa na kushika the City, mpaka siku moja watakapoamka.

- Na sisi Tanzania kama hatushituki tutaishia kule kule kwa hao Spanish, wazee wataendelea kutuchezea akili mpaka tutakapoamua kwamba sasa basi tuungane bila kujali itikadi na kuweka taifa mbele!

William.
hao vijana waliopewa madaraka na kuyatumia vibaya ni lazima ujiulize walifikaje hapo mpaka wakapewa madaraka husika, mimi naamini kabisa hao vijana waliotuangusha hawakuwa wanawakilisha vijana bali walikuwa ni wawakilishi wa wazee waliowabeba ili wawatumikie
 
aongeze kula kidogo... afya yake sio mwake

Ila tunayasikia haya kwasbabu ni maarufu, huwenda keshaanguka mara kibao alipokua bench

Mkuu Janjaweed a.k.a Col. Galang kazi ya kukusanya maoni ni nzito; kuzunguka nchi nzima na mara watu wakukemee au ushinikizwe na umri ule basi kazi kweli kweli. Tumuombee Mwenyezi Mungu amujaalie afya njema.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom