Mzee Warioba aanguka ghafla Serena Hotel; yadaiwa ni uchovu; ni mzima

Eeka Mangi

JF-Expert Member
Jul 27, 2008
3,178
1,195
Frankly speaking sijawahi kuwa karibu na Mzee Sinde, Joseph lakini waliowahi kuwa karibu yake wanadai kuwa Mzee wetu ni wa kiroro sana na portman kwa wingi! Hii inaweza kuwa ni moja ya sababu?
 

platozoom

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
8,807
2,000
Plz n00b. That is alarming. Habari kubwa sana huanza na tetesi. Unatufanya tununue uwezo wa ziada wa kukuvumilia mpaka utakapoamua kuzisema hizo tetesi zako za sababu ya kuanguka ghafla kwa Mwenyekiti wa Tume ya Kukusanya Maoni ya Katiba Mpya, Makamu wa Kwanza Mstaafu, Waziri Mkuu Mstaafu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mstaafu na Jaji wa Mahakama Kuu Mstaafu.

Tunasubiri kwa hamu sana tambu hilo na ukumbuke kuwa ni deni hapa.

Lini alikuwa jaji wa mahakama kuu? pliz
 

Mr. Zero

JF-Expert Member
Jun 5, 2007
12,829
2,000
Wasije wakawa wamempiga juju mzee wa watu. Si unajuwa misimamom yake tena...... Inawezekana kabisa CCM washaanza kuulalamikia huo uteuzi chinichini. Binafsi nina imani sana na hao watu wawili wa juu kwenye hiyo tume.
 

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,399
2,000
apunguze pombe. Kilimanjaro moto si mchezo. mimi hua nawaangaliaga tu.
 

seniorita

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
674
0
Inawezekana ni stress tu za kazi na umri jamani...we should not go far; let us pray for him ili Mungu ampe nguvu ya kufanya hii kazi kubwa ya katiba.....
 

zomba

JF-Expert Member
Nov 27, 2007
17,069
0
07_11_48yg7b.jpg


Mzee Warioba imeripotiwa kuwa ameanguka huko Serena Hotel lakini yasemwa ni 'dizzy spell' lakini aliweza kuinuka mwenyewe na kupelekwa hospitali. Hali yake inadaiwa ni mzima na wananchi wasiwe na hofu yoyote.

Vyanzo vya kuaminika toka eneo la Serena Hotel vimethibitisha tukio hilo na kutuhakikishia kuwa mzee Warioba anaendelea vizuri na tukio zima linahusishwa na uchovu.


Hofu ya nini sasa? kuanguka ni kitu cha kawaida kabisa. Wacha kuanguka na ukawa mzima hata angekufa, ni haki yake na wala si kitu cha kuwapa watu hofu, wanaokuwa na hofu ni wale wanaojidanganya kwa kuwategemea binaadam wenzao.
 

OSOKONI

JF-Expert Member
Oct 20, 2011
10,971
2,000
Pole sana Mzee Warioba Mungu hatakujalia utapona.

kwa nini mungu asimjalie apone amemkosea nini?? unapoandika kitu kisome kwanza kabla ya ku rush kupost herufi moja tu inabadili maana nzima ya neno!! acha ukilaza!!!
 

winner forever

JF-Expert Member
Mar 6, 2012
1,096
1,195
07_11_48yg7b.jpg


Mzee Warioba imeripotiwa kuwa ameanguka huko Serena Hotel lakini yasemwa ni 'dizzy spell' lakini aliweza kuinuka mwenyewe na kupelekwa hospitali. Hali yake inadaiwa ni mzima na wananchi wasiwe na hofu yoyote.

Vyanzo vya kuaminika toka eneo la Serena Hotel vimethibitisha tukio hilo na kutuhakikishia kuwa mzee Warioba anaendelea vizuri na tukio zima linahusishwa na uchovu.
Get well mkubwa,tunasubiri updates
 

Nyunyu

JF-Expert Member
Mar 9, 2009
4,357
2,000
- Na sisi Tanzania kama hatushituki tutaishia kule kule kwa hao Spanish, wazee wataendelea kutuchezea akili mpaka tutakapoamua kwamba sasa basi tuungane bila kujali itikadi na kuweka taifa mbele!

William.

William, I agree with you on this! Unajua tatizo lililoko ndani ya CCM ni hiyo hali uliyoisema. Ambayo ili kuibadili inabidi kuongoza jihad kuwapangua na mitandao yao!! Mimi nashangaa sana unvyosema unataka kuongoza mabadiliko hayo wakati wazee wanazidi kujikita!!!

Ndo maan naendelea kukuona kama wenzako ambao wanasubiri "peremende"
 

Tumaini Makene

Verified Member
Jan 6, 2012
2,617
1,500
- This one I am with you, Mh. Warioba amelifanyia mengi sana hili taifa na hakuwa mdokozi au fisadi, anaijua Sheria kuanzia ya nchi kavu mpaka ya bahari na Dunia inamtambua, huwa hatafuni maneno, lakini pia sio Malaika!

- Kuanguka kwake ni kawaida katika maisha, cha muhimu ni kwamba ni mzima 100% na kwa sasa amepumzika nyumbani kwake, CDM wasingekubali katiba kuongozwa na yeye kama wanafikiri kwamba hafai, ishu ya ujana na uzee kwenye hili taifa imetufisha pahali kwamba haijadiliki tena kutokana na jinsi Vijana walivyotuangusha!

- Dhana ya uzee bila hoja za msingi ni kupoteza muda wa bure, I mean understandable Vijana wachache kama Zitto, Nape, Januari, ambao wameonyesha kwamba wanaweza kusimama na hoja nzito kwa taifa, lakini hawatoshi na sasa tunaishia kushikana mashati na wazee ni kwa sababu wengi wetu Vijana tumekubali kuwa bendera za wazee bila kujua kwamba for that tumegeuka kuwalinda kwenye nafasi tunazotakiwa kuzishika, wanatudanganya na peremende kidogo, tunaanza kugombana wenyewe kwa wenyewe wao wanashika nafasi!

- I mean juzi nimeingia EAC race nimekutana na mtu ambaye mimi nikiwa Chekechea, yeye alikuwa anakimbiza mwenge, here he was running for EAC with me, sasa what do you expect is it a system hapana ni sisi wenyewe Vijana ndio tumeruhusu haya kwa sababu ya tamaa za kijinga, sasa unaanza kumtukana huyu Mzee ambaye hana shida kwa sababu he has enough pension na wala sio mwizi, badala ya kulilia mawaziri vijana wapelekwe kwenye sheria, unaanza kutukana wazee as if it will help anything, Vijana wengi wametuangusha sasa let wazee waendelee kututawala mpaka tutakapojifunza, kwamba we are the majority na wao ni minority!

- Pale New York City, pana mfano mmoja huwa unanimaliza sana, ni ule wa Spanish people, wao ni majority sasa hivi meaning kwamba wanatakiwa kutoa Mayor wa the City, lakini kwa sababu hawajijui matokeo yake Mjew Bloomberg anaendelea kuwachezea vichwa na kushika the City, mpaka siku moja watakapoamka.

- Na sisi Tanzania kama hatushituki tutaishia kule kule kwa hao Spanish, wazee wataendelea kutuchezea akili mpaka tutakapoamua kwamba sasa basi tuungane bila kujali itikadi na kuweka taifa mbele!


William.

Kaka

Paragraph yako ya pili na paragraph ya mwisho hazina kabisa uhusiano. Katika ile aya ya pili hasa nilipotia rangi ulikuwa umenikuna, lakini tena ukamalizia kwa kujipinga mwenyewe.

My opinion, kati ya mijadala ambayo haina tija kabisa kwa nchi hii ni suala la umri katika kushughulikia matatizo yanayotukabili na kutafuta masuluhisho ya kutukwamua katika mkwamo huu tuliopo.
 
  • Thanks
Reactions: FJM

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom