Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,472
- 92,867
Hakuna mahala ambako huwa wanalazimishwa, ni tamaa zao tu ndio zinawaponza, kama kibabu kingine ni huyu Mwenyekiti wa NEC, naye anataka afe kabla siku zake.:biggrin1: yaaani acha tuu... na hivi vibabu si waviache vipumzike kwani ni lazima hizi tume ziendeshwe na vikongwe...